Hahahahaaaajamani ccm arumeru inashinda kwa kishindo
Hakuna ubishi kwa kuchakachua kwa sababu mna dola eeeeeenh?
Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.
jamani ccm arumeru inashinda kwa kishindo
wazazi wako walileta chizi duniani
Mkuu haya si maneno yake. Haya ni Mansno ya Lusinde Kibajaj. Aliyatoa siku anaporomosha matusi kwa CDM
Samahani basi wazazi wa lusinde walimleta chizi duniani
Mwenzio ni mkazamwana wa Lowassa na wewe unamkaza mwana wa nani?, maana siku hizi mpaka uwe na nafasi ya kuwa mkazamwana wa kigogo na hapo ndipo upewe nafasi, mimi bado najiuliza hivi huyu jamaa ambae hata kura alikuwa anapigia Kawe amekuwa na uchungu wa watu wa Meru tangu lini?, ila kwavile watanzania bado tunafuata baba na mkwe wake basi, hata hivo Nassari atashindajamani ccm arumeru inashinda kwa kishindo
watu wengine bana kama huna cha kuweka hapa jamvini ni bora ukazoe mbolea ya kuku uweke kwenye mdomo wako itakusaidia kurutubisha u tz wako ili ujue kufikiri.eti kwa kishindo!!!!!!!!!!!!!!!!?????????????? Huna hata aibu.mmezoea kishindo kishindo hivi nawaukiza magamba wote mnafahamu maana ya neno kishindoooooooooo???? Au unajiropokea tu?jamani acheni kuropoka.jamani ccm arumeru inashinda kwa kishindo