Sioi ashindwe! Sala zangu zote

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
..lengo ili aaibike maana CCM wamepiga kampeni za kudanganya watu! Huu uongo hauvumiliki. Kwa nini wasingeanza kueleza yaliyofanywa na baba yake then yeye aanzie hapo wao wanapiga moja kwa moja kama vile kijana alitaka baba yeke aondoke ili arithi. Kweli siasa za bongo kazi sana!
Kama unaniunga mkono "like!"
 
yaani nimemsikiliza mzee mzima na mvii kibao kichwani anadanganya kama vile hana akili nzuri lakini uzuri mwenyewe amejishuku kuwa zile zilikuwa ni porojo tupu
 
Asante.... Umenifanya nicheke usiku wa manane huu..... Dah! Politiksi zetu kiboko!
 
Badala ya kuombea Sioi ashindwe, ungeweka nguvu kuombea Nassari ashinde. Naaarero?
 
Sala zangu ni upinzani uongezeke TZ ili bunge liwe tamu, lakini Mungu anajua mioyo ya watu. Mungu ibariki Arumeru.
 
Kweli Nasari ashinde, na ashinde kwa vishindo,
Na Sioi asishinde, mwamba wa sera mgando,
Kura nazo tuzilinde, CHADEMA pate uhondo,
Hakika CHADEMA ishinde, tutacheza msondo.
 
Back
Top Bottom