Matamu na machungu katika tuzo za mwaka 2011 kwa wana-habari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matamu na machungu katika tuzo za mwaka 2011 kwa wana-habari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by babykailama, Mar 31, 2012.

 1. babykailama

  babykailama JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [FONT=&amp]Kupitia Television nimeona,[/FONT]:cool2:
  [FONT=&amp]
  [/FONT]

  [FONT=&amp]1.[/FONT][FONT=&amp] Kazi nzuri ya walioandaa Majaji, Mc's makini, ukumbi uliopambwa vyema na zawadi zinazofaa. [/FONT]


  [FONT=&amp]2.[/FONT][FONT=&amp] Kwa ujumla, hotuba nzuri ya Mgeni rasmi, Mh. J. Kikwete, Rais wa JMT, imegusa maeneo nyeti juu ya Tasnia ya habari.[/FONT]


  [FONT=&amp]3.[/FONT][FONT=&amp] Maelezo Rais katika hotuba, yanayohusu barabara ipitayo hifadhini na ujenzi Airport Mugumu katika hotuba hayajitoshelezi. Hakika Rais angekuwa ame adress hayo siku nyingi waziwazi katika jukwaa lingine na si kusubiri katika TUZO kwa Wana-habari. Kusifu Mzee wa Kikombe wakati kuna maumivu makubwa yaliyowapata Wananchi kuhusu utapeli huo si sahihi. Aidha ameweza kufanya tufikiri kuwa kumbe sababu za vyombo vya Umma na Wizara ya Afya kuanza kushabikia (kutoa support) ya miundo mbinu katika huduma ya huyo Babu haraka haraka bila upembuzi wa Kisayansi ilikuwa kumbe ilikuwa ni issue ya ku-draw attention juu ya barabara ipitayo hifadhini!! [/FONT]


  [FONT=&amp]4.[/FONT][FONT=&amp] Maandalizi hafifu ya utaratibu wa utoaji tuzo jukwaani (mara anayeitwa si aliyepo pale, mara anayetakiwa kutoa zawadi hajafika na zaidi ya yote, niliwahurumia wale nominees wengine ambao hawakupata tuzo kuachwa wanateremka toka jukwaani kama hawakufanya kazi yoyote ya maana. Kama huna cha kuwapa (runners) usiwapeleke jukwaani period![/FONT]


  [FONT=&amp]Otherwise, ni tukio la kuigwa katika Taaluma / Tasnia nyinginezo pia .[/FONT]
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Unaweza kututajia walioshinda tuzo? Si wote tuliofanikiwa kutazama tv!
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu Maranya kuna uzi wa Byabato ulikuwa unatoa matukio live na wote waliopata tuzo wapo pale. Ningekuwekea uzi hapa ila natumia kasimu ka mchina.
   
 4. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Pamoja na mapungufu anayoyaainisha babykailama, hiyo hafla ilifana na ni historia. Naipongeza MCT na wadau wote walioiandaa bila kusahau washindi na nominees wote. Keep it up!
   
 5. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Hivi websites/blogs kama jf,michuzi,mwanabidii,bongostaz etc sio vyombo vya habari? Kama jibu ni ndio kwa nini sina kina bishanga hatujawa nominated?
   
 6. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  Tuzo za kishamba sijawahi kuona.
   
Loading...