Kwanini wapinzani hawawezi kufanya siasa bila vurugu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wapinzani hawawezi kufanya siasa bila vurugu?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KIM KARDASH, Mar 31, 2012.

 1. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Vijana hawa wako chini ya ulinzi wakituhumiwa kuingia kwenye mkutano wa kampeni wa CCM huko arumeru na kuleta vurugu. Picha: Bashir Nkoromo.
   
 2. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Kwa Tanzania ya leo ni only fools can agree with you on what you are saying. Tuliona Igunga vijana wa ccm wakiwa na mapanga na matukio mengine ya ajabu ajabu. In most cases ukiona wapinzani wanafanya fujo ni kujitetea tu ila under normal circumstance hawawezi anzisha fujo mana hawana dola ya kuwasupport na hawaamini katika vurugu. Bofya http://www.youtube.com/watch?NR=1&feature=endscreen&v=0uoHvua_SxY

  Picha uliyoiweka haina ushahidi kama ni wapinzani, haionyeshi dalili yoyote kama ni washabiki wa upinzani. Au umetumia kigezo gani kuwaita wapinzania??Aidha, inaonyesha wamekaa chini, unamaana gani kuita wafanya vurugu???Sifa ya campaigns za CCM ni kuwa na hoja nyepesi nyepesi na za uongo uongo kama hizi.

  Wakumbusheni wananchi mmewafanyia nini, waelezeni mnawafanyia nini, waelezeni mna mipango gani ya kuwafanyia nini. Achane kuongea pumba as if hamuongozi serikali. Serikali ya CCM sio ya kutoa ahadi tena kwani imekuwa madarakani miaka hamsini sasa. Ukiona hotuba ya Lowassa Arumeru Mashariki ndio utajua kuwa hamna tena cha kuahidi watanzania na ndio maana mnatafuta hoja za ajabu kutaka kuendelea kutawala wa tanzania. Bofya http://www.youtube.com/watch?v=xhjb5VjrsDw

  Suala la kuhubiri amani enzi hii, halina tena nafasi kwani wananchi wameshabaini kuwa wanaodumisha amani nchi hii ni wananchi wenyewe na wala sio CCM mana tuna matukio kadha wa kadha ambayo yanaonyesha wazi kuwa CCM na serikali yake imedhamiria kuvuruga amani. Below ndio mimi ningeterm kuwa ni vurugu.

  Bofya hapo chini uone vurugu na upuuzi wa chama chako, technologia imekuwa kijana hivyo unavyoamka alfajiri na kutoa mambo ya ajabu kwenye mitandao ya kijamii as if bado tupo mwaka 1947 unadhalilisha uso wako na kusumbua mwili wako, humkomoi mtu. People out there know what is going on, ni wewe tu ndo umejifungia na inaonekana haupo informed. Check hizo clip kisha wasalimie wote huko.

  http://www.youtube.com/watch?v=uERcp_9Obzc&feature=plcp&context=C4a19a70VDvjVQa1PpcFNp_T0dT1p83pXZkPjvv8jowgeqgnO4DC8%3D

  http://www.youtube.com/watch?NR=1&feature=endscreen&v=0uoHvua_SxY

  http://www.youtube.com/user/chadematv

  Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru - YouTube
   
 3. thereitis

  thereitis JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 297
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hivi wanachama wa CDM wakienda kumsikiliza mgombea wa CCM kuna ubaya gani? au wanachama wa CCM wakihudhuria kampeni za CDM ili kumsikiliza mgombea wake kuna ubaya gani? Au kuna chama kinafanya hujuma dhidi ya chama kingine?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Swali lako lipo bias sana!!!
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hivi wewe utatumiwa na magamba kama co..n.do.m mpaka lini? Watanganyika wameamka na wameshaamua kufanya positive political changes wewe nenda kalime mwani Zanzibar.
   
 6. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo hata republican na democrats za marekani haziwezi kufanya siasa bila vurugu?
   
 7. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,467
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Wanafanyiwa vurugu ili upinzani uonekane unavurugu yote hayo ni kiburi na ubabe wa chama tawala
   
 8. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  mzee condom nayo unaoogopa kuitaja hapa?
   
 9. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  There you are pretty woman
   
 10. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,813
  Likes Received: 36,905
  Trophy Points: 280
  virungu vya polisi havipigi kura, wapiga kura hawatabadilishwa msimamo wao kwa virungu vya polisi.
   
 11. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hawafanyi vurugu bali wanatumia nguvu sababu watanzania wengi vichwa vyao kuvielewesha yahitaji utumie fimbo na mikiki
   
 12. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi kweli watu wawili wanaweza leta fujo kwenye mamia ya watu? Haya ni kama yale ya Igunga ya kuuliza mkutanoni, wangapi watampigia kura mgombea? Then usiponyoosha ama ukinyoosha alama ya V basi wewe umeleta vurugu Kwa kuonyesha nia yako ya kweli. Vijana wa GREEN GUARD wakikuona watakupiga mbele ya polisi then wakiridhika wanakukabidhi mikononi mwa polisi. Maranyingine wanakuchukua na kukupeleka kusipo julikana ili kukuhoji? Na walifanya hivi mbele ya polisi na waziri Wasira aliyekuwa akiendesha kampeni siku hiyo Igunga. Hivi kweli wapinzani wangejipa haya mamlaka, jeshi letu la polisi lingewaachia? Tumeshuhudia mara nyingi polisi wetu wakifanya kazi chini ya maelekezo ya GREEN GUARD, sijui tunaelekea wapi na siasa zetu. NAMTAFUTA OMARI ABDUL MATELEFONI.
   
 13. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,261
  Trophy Points: 280
  Mti wenye matunda ndio unaopopolewa mawe. CCM this time hakuna aliepanda jukwaani na bastola? Uzuri wao wanaomba msamaha tu yanaisha! Wa chadema akioneka, mayooooo! Atabebwa juu juu kama moto wa kifuu!
   
 14. j

  jjjj Senior Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  KIMKARDASH,Asante kwa postings zako kwani we unaona vurugu upande mmoja tu.kwani wale waliokwenda kuwafanyia fujo
  wanachadema mbona hukusema kitu?
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mods hawaaminiki.
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Inaniuma sana--Mizambwa
   
 17. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145

  Hayo mambo yenu ya kuleta mashihara na nahau nyiiiingi kwenye mambo serious kama hili la vurugu za upinzani matokeo yake ndio kama haya yaliyofanywa igunga na wapinzani,je mnataka ya igunga yajirudie?mnaona raha gani watanzania wenzetu kama huyu bwana wakitiwa vilema vya maisha au kufa kwa ajili ya siasa za maji taka tu?


  [​IMG]

  MKAZI wa Igunga, Kada wa CCM, Mussa Tesha aliyekuwa katika matibabu India baada ya kumwagiwa tindikali usoni na watu wanaodaiwa kuwa wa CHADAEMA, wakati wa kampeni za uchaguzi mdogo jimboni humo mwaka jana, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam, baada ya kurejea nchini. Kulia ni Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba ambaye alikuwa Meneja wa Kampeni za CCM jimboni humo.  [​IMG]

  Kijana ambaye amelazimika kupatiwa matibabu India baada ya kumwagiwa tindikali usoni na watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chadema, wakati wa uchaguzi mdogo jimbo la Igunga Mussa Tesha (kushoto) akishiriki matembezi ya mshikamano ya ccm . Wapili kushoto ni Nape
   
 18. m

  maweni Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Akili ya Livingstone na Kashaga sawasawa, wote wanafikiria kwa kutumia uti wa mgongo (ubongo wa nyuma)
   
 19. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  wapiga kura wepi hao hawa wanaoviogopa vyama vya upinzani kwa sababu ya vurugu au?
   
 20. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tupe ushahidi ulio hai. Hivi wewe kweli propaganda ya CCM hii inayoabudu mafisadi huijui kweliiii!?? au umeamua kujifanya zezeta tu humu???Mimi nakupa muda, mchana huu zunguka ila usiku ukiingia ndani ya shuka, ule muda wa kufanya mapitio na majumuisho ya shughuli za siku nzima kabla ya kupitiwa na usingizi, utagundua tu kuwa what you are trying to say here is rubbish and no one listens. Check clip hapo chini

  http://www.youtube.com/watch?v=BbGRU...Nfw-Qxl9Hh0%3D.

  http://www.youtube.com/watch?NR=1&feature=endscreen&v=aQQdjIon93U

  http://www.youtube.com/watch?NR=1&feature=endscreen&v=0uoHvua_SxY
   
Loading...