Ndege ya KIKWETE hatimaye yakombolewa

African American

Senior Member
Feb 6, 2012
165
62
Baada ya kukwama marekani kwa muda mrefu kutokana na serikali kushindwa kulipia matengenezo sasa ndege hiyo inasemekana itarejea wakati wowote kwa ajili ya kumhudumia rais.

Source: Tanzania Daima
 
Unamaanisha ile aliyoinunua Ben na ambayo Mramba alisema tutakula ata Nyasi dege lazima litie nanga DIA enzi zile?
 
Tunanunua ndege ya kifahari kwa mbwembwe halafu hela ya service mgogoro!
 
kwa kuwa ilinunuliwa kwa dhuluma badala ya kuangalia maslahi ya wananchi
itaendelea kuharibika kila mara na serikali itajikuta inaingia garama kubwa kuikarabati
bora wangenunua boeing ya kawaida kama 373
737_nl_landing_250.jpg
 
Jamaa alipunguza misele kwa hiyo ndege kutokuwepo. Ikirudi mtamsikia mara Bondeni, mara US, mara Swiss ilimradi azurure tu kama kuku wa kienyeji!
 
Hiyo ndege bora isije tu maana ndio inayomfanya Mr. President aonekane kama Vasco da Gama vile
 
Hiyo ndege bora isije tu maana ndio inayomfanya Mr. President aonekane kama Vasco da Gama vile
Angekuwa naye ameandaliwa log book ya masaa hewani angekuwa amewapita hata marubani wazoefu kama Kapteni Mazula kwa masaa mengi angani.
 
Ivi kwani hawawezi pewa ATC iwe inapiga misere ya kibiashara then JK akiitaka wanaipiga soap soap anaitumia then ikiwa idle inapiga mishe mishe.
Maana kwa hali halisi ya uchumi wa nchi yetu iyo ndege itakuwa janga lingine ktk medani za matumizi ya hela za umma.
Ivi iko down kwa mda gani?
 
Siyo ndiyo ile ilopita saa zile mchana nikiwashambani nikipalilia maharagwe yalio kauka kwa kiangazi nkiwa na wadogo zangu walioshindwa kwenda shule kisa ada!
 
Siyo ndiyo ile ilopita saa zile mchana nikiwashambani nikipalilia maharagwe yalio kauka kwa kiangazi nkiwa na wadogo zangu walioshindwa kwenda shule kisa ada!

Yes, wakati huo kuna wagonjwa walikuwa wanapumulia mashine wamepoteza maisha sababu umeme ulikatika!
 
kwa kuwa ilinunuliwa kwa dhuluma badala ya kuangalia maslahi ya wananchi
itaendelea kuharibika kila mara na serikali itajikuta inaingia garama kubwa kuikarabati
bora wangenunua boeing ya kawaida kama 373
737_nl_landing_250.jpg

really?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom