April mosi, Arumeru jihadharini na sikukuu ya Wajinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

April mosi, Arumeru jihadharini na sikukuu ya Wajinga

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by sexon2000, Mar 31, 2012.

 1. s

  sexon2000 JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wana Arumeru, tarehe moja mnajukumu kubwa sana. Ili watu wa maeneo ambayo yana washabiki wengi wa chama tishio kwake wachanganyikiwe na kushindwa kupiga kura, ujumbe wa kuvuruga watu unaweza tawanywa asubuhi ya siku ya uchaguzi.

  Mfano "Uchaguzi umeahirishwa" au

  Mgombea wa chama X kajitoa msimpe kura au

  Kituo A kimehamishiwa eneo jingine na upotoshaji mwingine kwa manufaa yao binafsi.

  Wanaopiga kampeni wanajukumu la kwataarifu wana Arumeru wasidanganyike.

  Hii ni hofu yangu tu.
   
Loading...