Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

CHADEMA-59% CCM-41% *VIGEZO ULINGANIFU VILIVYOTUMIKA(Comparison criteria) @UPEPO wa kisiasa(Chadema 64%,CCM36%) @Uwezo wa WAGOMBEA(Chadema 64%, CCM36%) @Mafanikio ktk...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Dakika hii nguvu ya umma imelizingila pagala moja mjini kiwira huku ndani kukiwa na wakina mama walio kusanywa kutoka sehemu mbalimbali ili kupokea rushwa laki baadhi yao walitoa taarifa kwa...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Closed
Hebu tutabiri vichwa vya habari vya magazeti J3 ninayoisubiri kwa hamu. Uhuru: Arumeru Hakijaeleweka Tanzania Daima: Chadema Haikamatiki Arumeru Mwananchi: Mgombea Chadema aelekea kushinda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku ya jana CCM waliendesha mkutano kumnadi Sioi Sumari eneo la makumira Chuo kikuu.Wanafunzi walikuwa wengi wakiwasikiliza sera zao zilizojaa matusi.walitaka kushuhudia yale yaliyo rushwa kwenye...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Tumegubikwa na habari mbaya kwa muda mrefu. Habari mbaya za mfululizo kwa watanzania kwa kipindi cha miaka miwili toka uchaguzi wa oktoba 2010 1. Msiba mkubwa baada ya ccm kutangazwa na tume...
0 Reactions
2 Replies
939 Views
Heshima wana JF, Watanzania tuna changamoto nyingi za kutatua ili tuendelee ikiwemo uvivu,"usanii"kulalamikaa bila vitendo,nk.Lakini kila nchi ina ishu zake hata kama si makubwa kama Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaams Wanabodi. Wote tulishuhudia ufunguzi wa kampeni wa CDM live kupitia star tv. Leo siku ya kuhitimisha kampeni je kuna mwenye taarifa kuwa utarushwa live? Mwenye taarifa atujuze tujue kituo...
1 Reactions
1 Replies
821 Views
Deus Bugaywa Mrisho Ngassa atumika kushawishi kura Waahidi kutumia fedha binafsi kujenga barabara, kutatua kero ya madawati Henry Joseph, Jerry Tegete na Mrisho Ngassa watumika...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimeona kwamba ni vizuri tukiziweka wazi mbinu zinazitumika kuiba kura ili wanauhusika waweze kuudhibiti uizi huu ambao unawaza kutuvunjia amani yetu tuliyonayo: 1 Kupiga kura zidi ya mara moja...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni jumamosi wiki hii kwenye kufunga kampeni za udiwani kata ya Kirumba jijini Mwanza.
3 Reactions
54 Replies
5K Views
wakazi wa arumeru na watanzania wote kwa ujumla ikiwa ni siku ya mwisho ya kampeni za uchaguzi mdogo mimi kwa mtazamo wangu kampeni zimekuwa za kutangaza mambo ya kufikirika tu kwani mimi sielewi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabod leo ni fainali ya kampeni za uchaguzi mdogo wa mbunge wa Arumeru mashariki,nimefananisha kampeni hizi na mchezo wa riadha kwamba vyama vyote vinavyoshiriki vipo kwenye mstari tayari kuanza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za kuaminika ccm imekusudia kuvuruga uchaguzi arumeru
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tukiendelea hivi hakika hakuna uvunjifu wa amani utakaotokea. Pamoja na jam kubwa iliyotokea kutokana msafara wa mafisadi pale tengeru ikiwa imepambwa na zomeazomea iliyofanya magamba kutoa mikono...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukiachilia mbali uwezo wa kusimamia / kutekeleza ahadi, kuna Wapiga kura wengi ambao wanamkubali Mgombea au Kiongozi kutokana na jinsi anavyowasilisha hoja! Kwa vile anasema amezaliwa hapa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF ni wakati wa kuwaumbua mafisadi wetu, ifike mahala tutambue nani adui wa maendeleo yetu.. Bofya:
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Haya wadau upande mwingine wa shilingi! WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja amemtaka Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (Chadema), asitumie kigezo cha kukatikakatika kwa umeme katika baadhi...
0 Reactions
67 Replies
6K Views
Ilikuwa mida ya Saa Kumi wakati CDM wakifunga mkutano eneo la Sing'isi,Mwenyekiti wa Tawi CCM na Balozi wa Mtaa wamemkabidhi kadiza CCM Dr W.Slaa na kupewa kadi za CDM. Ilikuwa ni shamrashamra...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
...Kutokana na sheria za tume ya uchaguzi Siyoi Sumari hana uhalali wa kupiga kura tar. 1/4....sheria inataka mtu apige kura mahali pale alipojiandikisha wakati wa kuandikisha wapiga kura kwenye...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa jinsi karata zinavyochangwa na timu za kampeni kwa pande zote mbili, ni dhahiri kuwa Sioi wa CCM ataibuka mshindi kwa tofauti ndogo sana ya kura. Laiti kama CHADEMA wangekuwa makini zaidi, na...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom