Mungu ibariki Arumeru Mashariki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mungu ibariki Arumeru Mashariki.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by SOKETI, Mar 31, 2012.

 1. SOKETI

  SOKETI Senior Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ikiwa yamebakia masaa 21 ambayo yanaendelea kupungua ili kufanyika kwa zoezi la uchaguzi wa mwakilishi wa wananchi katika jimbo la arumeru mashariki yafuatayo yanapaswa kuzingatiwa:- wananchi kuendelea kudumisha amani na utulivu, kuzingatia sheria zilizowekwa na tume ya uchaguzi, kuimizana kuhusu umuhimu wa kupiga kura na kumchagua kiongozi aliye bora kwa manufaa ya walio bora.. Ukirejea yaliyo tokea Igunga na chaguzi nyingine ndogo yatupasa watanzania wote kwa ujumla wetu kuziombea Arumeru Mashariki pamoja na kata zitakazoshiriki kuchagua wawakilizi wao. Mungu ibariki Tanzania
   
 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Arumeru lazima vurugu zitatokea kwa sababu inajulikana kuwa CCM itashindwa na CCM hawako tayari klushindwa. Hapo ndipo hata tukeshe tuombe lakini yaweza kuwa kazi bure.

  Kwa sera mbovu za majigambo na matusi wameru hawapo tayari kudharauliwa tena.


  Ona sera za CCM!!!!!!!!!
  Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
  Pigaaaaaaaaaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
  Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
  CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeee.
  Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 3. SOKETI

  SOKETI Senior Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  da! Wamekwisha, hakika hawaponi
   
Loading...