Leo Kikatiti ilikuwa nusu funga, funga kazi kamili ni kesho Usa River na Tengeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo Kikatiti ilikuwa nusu funga, funga kazi kamili ni kesho Usa River na Tengeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Tumaini Makene, Mar 30, 2012.

 1. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Wakuu hapa jamvini salaam

  Mkutano wa kampeni wa mwisho kwa siku ya leo umefanyika Kata ya Kikatiti, Kijiji cha Kikatiti, ukihutubiwa na Katibu Mkuu, Dkt. Willibrod Slaa, Vincent Nyerere, mgombea Joshua Nassar, Mchungaji Peter Msigwa na makamanda wengine kibao. Ulikuwa mkutano mzuri ajabu. Umeendelea kudhihirisha namna CHADEMA ilivyo na command kwa Watanzania wote bila kujali dini, kabila wala rangi walio tayari kwa mabadiliko na mapambano ya awamu ya pili. Maana they all share common enemies and common problems, regardless...

  Ni mahali ambapo wale watani wa jadi walikuwa wamefanya mkutano wao mapema asubuhi kuanzia saa 4 hadi majira ya saa 7 hivi. Ilikuwa ni baada ya jaribio lao la kutaka kubadili ratiba huku pia wakilazimika kuwaomba makamanda wetu wa maeneo hayo kuwa wao CHADEMA ndiyo waanze mkutano mapema kisha wao magamba wapate fursa ya kufanya mkutano saa 8, kugonga mwamba.

  Vijana wetu, makamanda wa eneo hilo waliwajibu "kama hao wanaokuja kuhutubia hapa leo, wakiwemo wale magamba mliosema wasipojivua wenyewe, mtawafukuza kwenye chama, kama wanakuja kumnadi Joshua Nassar, tuko tayari kubadili ratiba." Likawa sharti ngumu kweli kweli. Sijui kwa nini! Ratiba ikaenda kama ilivyotakiwa.

  Kesho, siku ya mwisho wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki, Jumamosi ya Machi 31, mbali ya mikutano mingine mingi itakayofanyika maeneo mbalimbali, CHADEMA watafanya mikutano mwili mikubwa ya kufunga kazi, Usa River na Tengelu. Jamaa wamemua kukimbilia nje kidogo ya mji, King'ori maana wasingeweza kufanya jaribio gumu la kushindana na magwanda kupata watu wa kuhudhuria kusikiliza sera na hoja jukwaani. Nani anataka matusi ati?

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndiyo hali halisi mkuu,

  Ona sera za CCM!!!!!!!!!
  Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
  Pigaaaaaaaaaaaa
  Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiii.
  Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
  Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
  Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
  Kijaniiiiiiiii.
  Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
  CCM Oyeeeeeeeee.
  Oyeeeeeeeeee.
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  CCM hawana jipya tena na Arumeru ni jimbo la CHADEMA.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Keshokutwa hesabu itakuwa CDM 215 CCM 7, CDM 350 CCM 31, CDM 70 CCM 2, CDM 516 CCM 46. Yaani watachanganyikiwa na matusi yao vibaya sana
   
 5. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwenye macho haambiwi angalia wote tumejionea Mungu msaidie kijana wako Nassari
   
 6. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  inshallah
   
 7. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Nimefarijika na umati ule wa watu na hasa kama wote watapiga kura
   
 8. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ukitaka mpinzani wako asibembwe na refa, mpige kwa knock out.
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,530
  Likes Received: 10,442
  Trophy Points: 280
  sipati picha chadema wakichukua jimbo alihamu dulilayi.
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Mkapo bado anabwabwanya zee jinga sana ilo,eti leo wasanii ndo wawakusanyie watu
   
 11. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Chademaaaaaaaaaaaa for arumeruuuuuuuuuuuuuuu 1 april 2012 tulianza na mungu tutamalizana mungu wao wanamaliza na ffu kutoka ccp
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Lowassa alizomewa mpaka aibu. Ningekuwa yeye nisingepanda jukwaani kesho. Mkanyaga mwanaye yupo yupo tu hana hata ile personality ya kuwa mwanasiasa.
   
 13. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Tulianza na MUNGU tunamaliza na MUNGU.
   
 14. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  ....muwe macho na mbinu za magamba! wapenda mabadiliko tunawatakia kila la kheri!!
   
 15. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,675
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  if will be viceversa?
   
 16. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Arumeru inaenda chadema...
   
 17. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwa hali ilivyo hivi sasa, CCM inashinda kwa asilimia kubwa sana! Wazee wote wa Arumeru wenye influence wametoa baraka zote kwa Sioi! Vijana wote wataipigia kura CCM! Akina mama wote wataipigia kura CCM!
   
 18. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  EL na mkapa wamehutubia watoto kikatiti leo!
   
 19. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hizi ndizo sera za Lusinde! Ama kweli Mtera ni yatima.
   
 20. m

  mzee wandimu JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 441
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  mkuu asante kwataarifa! tafadhali tuwekee ratiba ya TENGERU na USA RIVER! ili tujipange kuhudhuria yote!
   
Loading...