LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

LOWASA, MKAPA walivyounguruma leo Arumeru mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mujumba, Mar 30, 2012.

 1. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Walisema hataongea, ooh mara akija azomewe! hatimaye mwanasiasa maharufu pengine kuliko wote kwasasa nchini mheshimiwa EDWARD LOWASA leo amehutubia maelfu ya wapiga kura huko ARUMERU! kwa mujibu wa mashuhuda wetu umati wa watu uliojitokeza haujawahi kutokea katika historia ya eneo hilo! pamoja na CDM kumchafua sana LOWASA leo ameshangiliwa sana na wananchi kuwa watulivu kumsikiliza na kupiga makofi ya pongezi pale alipogusia hoja za msingi na alimnadi mgombea wa CCM mh SIOI SUMARI, kuwaambia wananchi wampe kura SIOI na yeye atakuwa ataongozana nae hadi kwa waziri wa ARDHI kumaliza matatizo ya ardhi Arumeru! KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! HONGERA MH LOWASA KWA KUWAONYESHA KUWA UKO FIT KUPAMBANA  Kijana unapotosha watu hivihivi hapo sio patandi, patandi kulikuwa na umati umati mkubwa saana,afu mnafanya usanii kwenye picha za ccm mnachukua picha sehemu za pembezoni au sehemu zamwisho mwisho kwenye msafara kuonyesha eti watu wachache! mbona hampigi picha mwanzo wa msafara au kupiga picha kutokea kwenye jukwaa kuu kuonyesha umati wa watu ulioudhuria! endeeleeni kuwajaza uwongo wanachama wenu

  Magamba hawawezi kutoa picha kama hii, watajitahidi kutoa picha ambazo hazina uhalisia.

   
 2. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  mkuu japo picha ili chadema tuamini hilo unalosema.
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mbea sana wewe, sijui ni mzee au kijana ni mnafiki sana wewe, wewe ndio umetoka kurusha picha za lowasa kwenye post ingine uko wakati unafahamu kabisa picha zile ni za kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana, kwa nini watu wengine mnapenda kula bila kutoa Jasho.

  Wewe unadhani utaishi kwa kudanganya danganya mpaka lini??
   
 4. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Watanzania ni cheap sana!
   
 5. A

  Awo JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Ushasahau kuwa hili ni gamba? Ati 'ataandamana na Sioi mpaka kwa Waziri wa Ardhi blah blah blah'. Kwa nini hakuandamana naye siku zote? Si mkwewe?
   
 6. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,834
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  Hawakumwuliza mvua ya mabomu toka tailand iliishia wapi?
   
 7. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli EL anatisha yaani kaja mwiiiisho kwenye THE END.
   
 8. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  nimeamini wema hawadumu ktk hii dunia! Watu kama ninyi kwa nini mfise mapema? Nasema hivo kwa sababu kuna ndugu zetu wenye machungu sana kulikomboa taifa letu lakini wanakufa kabla ya adhima yao kutokana na ugumu huu wa maisha uliosababishwa na hao viongozi wabovu akina lowasa mnaowashabikia. Mimi naamini anaeitetea ccm ni yule anaenufaika na maovu yao, but time will tell, atajitokeza kijana mwenye machungu sana na atakaesikilizwa na kupewa ushikiano na wananchi kila pembe ya nchi yetu na atalikomboa taifa.let us wait and see
   
 9. m

  matawi JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jamaa jiongo mpaka limesahau kusema ni. Arumeru ipi nimepita tengeru sasa hivi magamba wanafanya mkutano hawafiki 20 cha ajabu wamezungukwa na polisi kama 30 halafu kuna chadema takribani 200 wapo wanaushangaa mkutano wa magamba, haijaeleweka ni kwa nini imekuwa hivyo lakini mimi niko kwa bassi la shattle kwa hiyo sikupata muda wa kuchunguza
   
 10. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  acha presha mambo yote kuwa adharani saa mbili usiku! usikae mbali na tv yako
   
 11. only83

  only83 JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  ccm=mavi
   
 12. TOWNSEND

  TOWNSEND JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 2,597
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  we unategemea tv wanachakachuwa mpaka mahudhurio picha na maneno haviendani wakati mwingine we angalia watu wanashangilia lakini sura ya aneongea yupo serious..... tukumbushane baada ya kuangalia yaliojiri leo
   
 13. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  Mbona sisikii hizo ngurumo? Ungeweka na audio basi
   
 14. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ni kweli ni mwanasiasa Maharufu kwa sababu ananuka damu za watanzania kutokana na ufisadi wake. Halafu ni muheshimiwa kwa nani labda mkewe na wachumia tumbo kama wewe. Magamba bwana hovyooooo!!
   
 15. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  achana na huyo Kashaga moja ya vibaraka wa CCM, na hayupo Tz yupo South Africa maeneo ya soweto anakula vumbi tu!
   
 16. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hakuna anayekaa kwenye tv kusubiri habari za magamba,pusi mmoja wewe
   
 17. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  mwenyeweeeee
   
 18. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  kwahiyo wewe unapata habari wapi? lile gazeti la chama
   
 19. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Ungekuwepo maeneo ya Kikatiti leo usingesema uyasemayo. EL kautubia watu kiduchu wakiwepo waliotoka Monduli kama ilivyo ada kwa ccm kubeba watu kutoka sehemu mbalimbali ili kujaza mikutano yao.
  BAada ya kampeni alizomewa vibaya na wananchi wa Kikatiti, askari ndo waliomwokoa kwani ilibidi waingilie kati na msafara ukarudi usa river.  Chini ni baadhi tu ya picha za zomeazomea hizo
  View attachment 50546
  View attachment 50549
  View attachment 50550
  View attachment 50551

  Msafara wa EL wakitoka kikatiti kabla ya zomeazomea
  Picture 040.jpg

  Watoto wakuandamana kuunga mkono zomeazomea hizo
  Picture 032.jpg
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  Hapa ulipaswa useme CCM ndio cheap sana na sio Watanzania, utakuwa hujatutendea haki.
   
Loading...