Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,611
- 868
Utafiti wa kisayansi uliofanywa na watu unaonyesha wazi kabisa katika chaguzi ambazo zinategemewa kufanyika kesho kutwa kuanzia ubunge hadi udiwani CDM ina asilimia kubwa ya kuibuka kidedea endapo tume ya uchaguzi itafanya kazi yake bila mashinikizo toka serikali kwa lengo la kuibeba!!!!!
Kupitia vyanzo vyangu mbali mbali siyo Aruemeru tu CCM imeshikwa bali Mwanza, Mbeya, Songea katika chaguzi za madiwani nako hali ni tete.
Kibaya zaidi serikali imeshaligundua hilo na kutaka kulinusuru kwa njia ambazo bila ya shaka zitateleta maafa makubwa kwa lengo ya kukilinda chama cha Mapinduzi hasa katika kipindi hiki ambapo maisha ni magumu na wananchi wakiamini kiini ni serikali ambayo katika siku za hivi karibuni imeonyesha dhahiri kushindwa kutatua kero za wananchi hao ambao ndiyo wapiga kura!!!
Njia hiyo ambayo inatarajiwa kutumika ni kuwachanganya wananchi hasa mapema sana kwa kutoa amri tata ambazo zitapingwa na wananchi hao kisha polisi kufanya kazi yao na kuharibu siku hasa kwa wale wenye mioyo midogo.
Na kwa kuwa CCM imejitahidi sana kujenga hoja na CDM ni chama chenye kuendekeza vurugu basi ikibidi watu watakufa kwa makusudi ili kipakwe matope zaidi kuwa ndiyo chanzo kikuu, na ugomvi huo utaanzia RASMI KWENYE KULINDA KURA kama ilivyokuwa Arusha katika maandamao ya tarehe 05.01.2011. Ni mpango maalumu wala si wa bahati mbaya ili kunusuru CCM isishindwe karibu chaguzi zote na kutoa mwangu mbaya katika taswira ya kimataifa.
Wajameni nawakilisha. C
Ona sera za CCM!!!!!!!!!
Nipigeeeeeeee Nisipigeeeeeeee??????????????? ?????
Pigaaaaaaaaaaaa
Bendera ya CCM ina rangi ganiiiiiiiiiiiiii????????????? ??
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mahindi yanaota rangi ganiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiii.
Ukipanda mpunga unaota rangi ganiiiiiiiiiiiiii???????????
Kijaniiiiiiiiiiiiiiii
Migomba yote ina rangi ganiiiiiiiiiii?????????????
Kijaniiiiiiiii.
Piga makofi na vigelegele kwa Chama cha Mapinduzi.
CCM Oyeeeeeeeee.
Oyeeeeeeeeee.