CDM tunaomba mtutendee haki watu wa Dar es salaam,kwa kumuandalia mapokezi makubwa
mbunge mteule J Nassary,kabla hajaenda kuapishwa Dodoma.PLEASEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!
Chama cha Demokrasia na maendelo Chadema Kimetangazwa kuwa mshidi wa Jimbo la Arumeru Mashariki, kupitia Mgombea wake Joshua Nassari, kwa ushindi wa haki.
Kwa Mara ya kwanza Jeshi la Police Mkoa...
Ni ukweli usiopingika kuwa ushindi wa gwanda dhidi ya tawalaaaa ktk jimbo la Arumeru mash, umetokana na wananchi hasa wale wa vijijini ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa wakiipatia tawalaaaa...
jamani wadau napenda kuwajua ni kweli serikali ya tanzania imeshindwa kumpa nauli balozi mapuri wa china na balozi wa tanzania nchini breesuls ambayo walipewa barua za kumaliza muda wao tangu...
Kama baba akiwa dereva na mtoto anakuwa...derevaaaa!!!!
baba akiwa Daktari na mtoto anakuwa ..........daktariiiiii!!!
Baba akiwa mpiga debe wa Mbagala kawe na mtoto lazima awe......Mpiga debe wa...
W. Malecela wahi kura ya ubunge wa afrika mashariki kwa NASSARI. Nassari mpe kura ya ndiyo William ni mtu wetu mwana jamii mwenzetu. Usimhukimu kwa ajili ndugu yake Lusinde alikutukana sana...
Katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la igunga, chama cha wananchi-cuf, kiliingia katika kampeni za uchaguzi huo kikipiga tambo za kujivunia mtaji wa kura zaidi ya elfu 11, kilichopata katika...
Nimeshuhudia TBS wakitangaza matokeo ya Ubunge Kule Arusha, Kamanda Lema amesimamia kuhesabu kura na kutotoa mwacya hata hatua mbili hadi anatangaza matokeo akifuatisha msitari kwamsitari pembeni...
...Inawezekana wengine wakadhani ni fikra za mwendawazimu kudhani kwamba "demokrasia ni gharama." Na inawezekana pia wengine wakaona kwamba tuna wajibu wa kutumia rasilimali nyingi katika kukuza...
Viongozi na wabunge mbali mbali wa CCM walianza kuondoka kimya kimya jana usiku wa manane kurudi jijini Dsm baada ya kupata matokeo kuwa wamebwagwa na CHADEMA.Wabunge hao ni Lusinde,Ole...
Wizara ya Waziri Magufuli hoi
NA MWANDISHI WETU
30th March 2012
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, John Cheyo
Imebainika kuwa chanzo cha miradi mingi ya barabara nchini...
Ushindi wa Wa Chadema Arumeru Mashariki ni ishara tosha ya kuirudisha nchi hii mikononi mwa wateule na wenye uchungu na nchi.
Uchaguzi wa Arumeru ilikuwa ni Vita kati ya Tajiri na Maskini,lakini...
Jana 23/02/2012 nilimsikia msajili wa vyama vya siasa Bw. John Tendwa, akisisitiza kuwa kuwa katika chaguzi ndogo ikiwemo ijayo ya Arumeru Mashariki ni lazima vyama vya siasa vifuate kanuni ya...
Hainingii akilini kuona rais mstaafu anapanda jukwaani na kuanza kumnadi mgombea ubunge. Nionavyo mimi ni busara zilizojaa kuwa washauri wa jumla wa namna nchi yetu inavyo weza kustawi kwa kujali...
Awali ya yote nimefurahishwa na maamuzi ya vijana wa Arumeru - Heko!
Well,
Don Mkapa Rais Mstaafu alikuwepo, Ufunguzi na Ufungaji.
Premier Waziri Mstaafu Edo Lowassa alikuwepo.
Achilia mbali...
Wabunge wawili mmoja wa Jimbo la Ilemela na mmoja wa jimbo la Ukerewe wamepigwa mapanga na mawe usiku wa leo
kuamkia asubuhi na hii inatokana viongozi hao walikuwa huko Mwanza wakati wakipita...
Baada ya kushindwa Arumeru kauli mbali mbali zimeshaanza kutolewa na viongozi na makada wa ccm.tumemsikia nape,bashe,makamba na wengine watafuta.
Bottomline...........RIP CCM
Ukiona Umma unasimama kidete na kusema No,ujue huna chako.CCM jifunzeni kutoka Arumeru.2015 one mistake one Goal.
Ukitaka kujua nini maana ya nguvu ya Umma,fuatilia Syria,Watu wana Mwaka wana...
Ule Ugonjwa wa Psychotherapy nilio watabiria TOT sasa umeanza kuwala,hivi wamekimbilia Babati na Kosta yao na Semi lao,watapitia Hukohuko mpaka Dodoma kuelekea Dar,Mbona mnajizungusha...