Je serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshindwa kuwapa nauli mabalozi za kurudi tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshindwa kuwapa nauli mabalozi za kurudi tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Diplomatic Imunnity, Apr 2, 2012.

 1. Diplomatic Imunnity

  Diplomatic Imunnity JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,205
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  jamani wadau napenda kuwajua ni kweli serikali ya tanzania imeshindwa kumpa nauli balozi mapuri wa china na balozi wa tanzania nchini breesuls ambayo walipewa barua za kumaliza muda wao tangu miezi sita iliyopita. kikubwa kinachonichanganya ni huyu baba wa kaya yetu wakati anamteua dk kamala na dk marmo kuwa mabalozi hajujua kuwa serikali haina pesa sasa kilichobaki naona leo kamala yupo mikumi kesho yupo paradise hotel yaani hawa mabalozi wateuli wamekuwa kama kuku waliokosa mabanda ya kulala naomba wadau mnisaidie nini tatizo mapuri.jpg mlay.JPG mlay.JPG
   
 2. u

  umumura Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mabalozi kama wangetumika vizuri wangekuwa na manufaa kwa uchumu wetu, lakini kwa serikiali hii ya CCM, wamegeuka na kuwa mzigo wa laana, kwani ni sehemu ya kupeana vyeo vya kirafiki bila ya kuangalia opportunity potentials. Tukiendelea kuchagua CCM, ni sawa na kujichimbia kaburi.
   
Loading...