Joshua Nassary aje Dar

REMSA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,579
947
CDM tunaomba mtutendee haki watu wa Dar es salaam,kwa kumuandalia mapokezi makubwa
mbunge mteule J Nassary,kabla hajaenda kuapishwa Dodoma.PLEASEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!
 
Aje dar kufanya nini wakati watu wa dar bado mpo busy kuwachagua magamba? Haina hata haja ya kuja huko inaonekana CCM ni mkameroon wa wadar!
 
Aje dar kufanya nini wakati watu wa dar bado mpo busy kuwachagua magamba? Haina hata haja ya kuja huko inaonekana CCM ni mkameroon wa wadar!
Acha ujinga kuvunja watu moyo,unataka kutuambia John Mnyika na H.Mdee ni magamba???? au unafikiri Makongoro
Mahanga alishinda Segerea???Use your common sense.
 
Dar kufanya nini afanye kazi alizo ahidi Arumeru kwanza.

Dar ipo atakuja akitumwa na wameru kuja nunua vifaa namabomba ya maji.

Mnacho weza kumsaidia ni michango ya kumsaidia kuendeleza meru maana si fisadi huyo!
 
aje dar kufanya nini? nyie si mnawachagua magamba kila kukicha
 
CDM tunaomba mtutendee haki watu wa Dar es salaam,kwa kumuandalia mapokezi makubwa
mbunge mteule J Nassary,kabla hajaenda kuapishwa Dodoma.PLEASEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!

Dar mmeshindwa kuchukua kata ya vijibweni halafu mnataka tuwaletee Nassari? ngoja kwanza watu makini wa Arusha tumpongeze kwanza ndo tutwafikiria.
 
Back
Top Bottom