Lowassa kuweka kambi Arumeru Mashariki kupangua mikakati yote ya CHADEMA

Juma Hamis

Member
Mar 15, 2012
60
9
Katika hali ya kawada naomba nitume rai yangu kwa viongozi wetu wa chadema kuacha mara moja mazungumzo ya siri waliyonayo na lowasa,kwani watanzania hawatakielewa chama chao wanachokipenda (cdm),lowasa amewaomba viongozi wa chadema wakubali kumsafisha katika kashifa mbalimbali za ufisadi na rushwa zinazomkabili.

Suala la ufisadi sasa viongozi wetu wa cdm mmeanza kuliona la kawaida na kushindwa kulielezea kwa kina namna linavyolimaliza taifa letu,kwani bado mirija wa mafisadi ipo wazi wazi lakini humliongelei arumeru au mnasubili mazungumzo yenu na lowasa yakwame ndio tena muwe na nguvu za kuchukizwa na ufisadi.

Kumbukeni lowasa akiingia madarakani ataua upizani kwani si mtu anayependa kupewa changamoto na washindani wake wa kisiasa,lakini pia watanzania wana nia ya kuwa na viongozi safi na serikali safi,tafadhali sana tunataka kuona serikali ya cdm madarakani na si serikali ya mseto anayoiahidi lowasa,kama yeye ana nia ya dhati basi aende akagombee ubunge monduli halafu asubilie kuja kuisaidia cdm na si cdm imsaidie kuingia madarakani kwa nkisingizio cha serikali ya mseto.je akiwasaliti mtawaeleza nini watanzania kama si chama kutoaminiwa wa wananchi walio na imani na cdm.
 
we taarifa hizi umezitoa wapi> viongozi gani wanahusika katika mazungumzo hayo?
 
mtakuja na mbinu za kila namna kujaribu kukichafua chama lakini hamtuweza ninyi magamba.
 
Katika hali ya kawada naomba nitume rai yangu kwa viongozi wetu wa chadema kuacha mara moja mazungumzo ya siri waliyonayo na lowasa,kwani watanzania hawatakielewa chama chao wanachokipenda (cdm),lowasa amewaomba viongozi wa chadema wakubali kumsafisha katika kashifa mbalimbali za ufisadi na rushwa zinazomkabili.

Suala la ufisadi sasa viongozi wetu wa cdm mmeanza kuliona la kawaida na kushindwa kulielezea kwa kina namna linavyolimaliza taifa letu,kwani bado mirija wa mafisadi ipo wazi wazi lakini humliongelei arumeru au mnasubili mazungumzo yenu na lowasa yakwame ndio tena muwe na nguvu za kuchukizwa na ufisadi.

Kumbukeni lowasa akiingia madarakani ataua upizani kwani si mtu anayependa kupewa changamoto na washindani wake wa kisiasa,lakini pia watanzania wana nia ya kuwa na viongozi safi na serikali safi,tafadhali sana tunataka kuona serikali ya cdm madarakani na si serikali ya mseto anayoiahidi lowasa,kama yeye ana nia ya dhati basi aende akagombee ubunge monduli halafu asubilie kuja kuisaidia cdm na si cdm imsaidie kuingia madarakani kwa nkisingizio cha serikali ya mseto.je akiwasaliti mtawaeleza nini watanzania kama si chama kutoaminiwa wa wananchi walio na imani na cdm.

Una uhakika na unachokisema? Kama una uhakika njoo upya na mambo yafuatyo: Taja chanzo cha habari yako, Taja majina ya viongozi wanaohusika katika tuhuma hizo. Hapa mambo hadharani bana!
 
umejuaje kama na wewe haukuwepo kwenye hayo mazungumzo

mjinga utamjua tuu
 
Katika hali ya kawada naomba nitume rai yangu kwa viongozi wetu wa chadema kuacha mara moja mazungumzo ya siri waliyonayo na lowasa,kwani watanzania hawatakielewa chama chao wanachokipenda (cdm),lowasa amewaomba viongozi wa chadema wakubali kumsafisha katika kashifa mbalimbali za ufisadi na rushwa zinazomkabili.

Suala la ufisadi sasa viongozi wetu wa cdm mmeanza kuliona la kawaida na kushindwa kulielezea kwa kina namna linavyolimaliza taifa letu,kwani bado mirija wa mafisadi ipo wazi wazi lakini humliongelei arumeru au mnasubili mazungumzo yenu na lowasa yakwame ndio tena muwe na nguvu za kuchukizwa na ufisadi.

Kumbukeni lowasa akiingia madarakani ataua upizani kwani si mtu anayependa kupewa changamoto na washindani wake wa kisiasa,lakini pia watanzania wana nia ya kuwa na viongozi safi na serikali safi,tafadhali sana tunataka kuona serikali ya cdm madarakani na si serikali ya mseto anayoiahidi lowasa,kama yeye ana nia ya dhati basi aende akagombee ubunge monduli halafu asubilie kuja kuisaidia cdm na si cdm imsaidie kuingia madarakani kwa nkisingizio cha serikali ya mseto.je akiwasaliti mtawaeleza nini watanzania kama si chama kutoaminiwa wa wananchi walio na imani na cdm.

Umesha kunywa chai? Taja majina yao na bei zao wengine watawahitaji
 
Ndio mana chadema sasa hivi dr slaa anatengwa kutokana na kuwa na msimamo mkali dhidi ya ufisadi na mafisadi na sio siri dr slaa ni mwiba mkali kwa lowassa ndio maana lowassa hataki slaa agombee urais tena hivyo kuna watu anawatumiandani ya chadema kuhakikisha slaa hapitishwi kugombea urais.Nmuonea huruma sana slaa hajui anapambana na nani masikini.
 
MemberArray

Join Date : 15th March 2012
Posts : 17
Rep Power : 305
Likes Received2Likes Given
 
Back
Top Bottom