Mkutanio mkubwa wa kuwashukuru wana Arumeru leo saa saba Ngaresero Usa River | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkutanio mkubwa wa kuwashukuru wana Arumeru leo saa saba Ngaresero Usa River

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by yplus, Apr 2, 2012.

 1. y

  yplus Senior Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuanzia saa saba kutakuwa na mkutano mkubwa wa kuwashukuru wana Arumeru Mashariki walio kubali Mabadiliko.
  Utafanyika Uwanja waa Ngaresero Usa River,pale walipo zindulia kampeni CCM na ndipo MhLusinde aka Kibajaj alipo poromoshea matusi ambayo yamamkula yeye na familia yake na ukoo wake mpaka anaingia kaburini.Fungua kwenye You Tube Mh Lusinde matusi.
  Karibuni sana...
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Tutakuwepo kwa muda uliopangwa tumshuhudie simba dume aliyeng'oa kisiki cha mpingo!
  Aksante sana kwa taarifa hii njema!
   
 3. m

  mareche JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nitakuja mkuu
   
 4. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwenye siasa ukiwaweka watu wako (mashabiki na wanachama) kari namna hii na kuwakumbuka kwa kile walichokufanyia utafika mbali sana.Hakika hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa,na huu ndio uzalendo wa kiafrika tuliokuwa tunautaka.Baada ya kupewa kile unachoomba ni vyema ukashukuru.

  Tunajua watu wamekesha kwa siku tatu, lakini ni vyema mkawapatia wananchi kile wanachostahili. This is what we call, speaking from HEART to HEART. Gracias CDM
   
 5. HISIA KALI

  HISIA KALI JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 694
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pia namshauri Mh Nassari, ahakikishe anapanga muda wa kwenda kila mahali ambapo alifanya mikutano ya kampeni. Safari hii hasiende kuwahutumbia wananchi bali kuwasilikiza wananchi wanasema nini kuhusu matatizo yanayowakabili. Baada ya hapo ataangalia ni namna gani atashirikiana na wananchi hao kutatua matatizo hayo.
   
 6. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Pamoja na kuwa na "furaha" ya ushindi... Jaribu ku-EDIT kichwa cha habari... Mkutanio = Mkutano
   
 7. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,145
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda asante
   
 8. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hapatoshi hapo leo, daladala zote leo route ni usa nauli 100 watoto bure! Haki ikionekana imetendeka hata masikini anakuwa tajiri ghafla kwani moyo wake unapata faraja kubwa.
   
 9. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Movement for CHANGE,
  Movement for CHADEMA.
   
 10. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ni vyema na haki wakasherehekea ushindi na ni busara kuwashukuru wapiga kura
   
Loading...