Kwa matokeo haya Arumeru, ni pigo kwa B.W. Mkapa

FKM

Member
Dec 9, 2011
51
21
Ushindi wa CDM Arumeru mashariki ni ishara kwamba hata huyo B.W.Mkapa ambaye magamba wanamuona kama mungumtu wao kwenye jukwaa la kampeni.

Kwa kweli kila jambo na wakati wake. Huyu gamba kuu amewatukana sana wapinzani hasa Lipumba, Mbowe, Dr. Slaa na wengine wengi. Binafsi ninamtambua kama mwasis wa kampeni chafu majukwaani japokuwa wanachi walikuwa wanamzawadia yeye na chama chake C.C.M ushindi.

Katika hili naomba nitumie jukwaa hili la siasa humu JF kuwapongeza wa-Arumeru mashariki kwa ukomavu wa siasa na demokrasia waliouonyesha bila kuangalia historia aliyokuwa akiwahutubia gamba kuu siku ya kufunga Kampeni.

Pia naomba niwapongeze Mangwanda wote pamoja na waTZ wenye mapenzi mema na CDM. ni kazi kubwa imefanika.

Kuishinda ngome ya EL na nguvu ya Pesa kwa umasikini huu ulionuka kila kona ya nchi hii si kazi ndogo.

Mungu ibariki CDM.
Mungu tubariki wapenda mabadiliko ya kweli yaletayo tija ya maendeleo katika nchi hii
 
na ccm yote ni pigo kwao kwani wametumia pesa nyingi sana za walala hoi
 
wana tz tuanze elimu ya uraia
Maana hakuna sababu ya kushinda ccm popote pale Tz
ILA ni ujinga wetu waTz
 
Kama nawaona walivyojikunja kama wamenyeshewa, taratibu watakubali tu kama kenya, Zambia na kwingineko
 
Ushindi wa CDM Arumeru mashariki ni ishara kwamba hata huyo B.W.Mkapa ambaye magamba wanamuona kama mungumtu wao kwenye jukwaa la kampeni.

Kwa kweli kila jambo na wakati wake. Huyu gamba kuu amewatukana sana wapinzani hasa Lipumba, Mbowe, Dr. Slaa na wengine wengi. Binafsi ninamtambua kama mwasis wa kampeni chafu majukwaani japokuwa wanachi walikuwa wanamzawadia yeye na chama chake C.C.M ushindi.

Katika hili naomba nitumie jukwaa hili la siasa humu JF kuwapongeza wa-Arumeru mashariki kwa ukomavu wa siasa na demokrasia waliouonyesha bila kuangalia historia aliyokuwa akiwahutubia gamba kuu siku ya kufunga Kampeni.

Pia naomba niwapongeze Mangwanda wote pamoja na waTZ wenye mapenzi mema na CDM. ni kazi kubwa imefanika.

Kuishinda ngome ya EL na nguvu ya Pesa kwa umasikini huu ulionuka kila kona ya nchi hii si kazi ndogo.

Mungu ibariki CDM.
Mungu tubariki wapenda mabadiliko ya kweli yaletayo tija ya maendeleo katika nchi hii

Mkuu hapo kwenye red!!!!! you are so genius! yani umegusa kila kiungo katika mwili wangu
 
naomba mnijuze kama lowasaa, mkapa, mwigulu, nape, lusinde wapo arumeru au wameshakimbia
 
Kwa kifupi, Chadema na wananchi wa Arumru Mashariki wameishinda CCM, serikali yake pamoja na pesa zao. Kiukweli kazi haikuwa ndogo kwa waliokuwa wanafuatilia, maana CCM na serikali yake walitumia kila silaha waliyokuwa nayo kuhakikisha wanashinda ikiwa ni pamoja na mawaziri, polisi, wazee wastaafu, nk. Hongera Chadema, Hongera wana Arumeru Mashariki.
 
Nadhani kwa mwananchi mwelevu hatashangilia ushindi pekee bali ataongeza chachu kuiendeleza chadema kushinda kwa kujitokeza kuipigia kura miaka ijayo.
 
Wananchi wa Arumeru wameinyima ushindi ccm kuonyesha chuki yao kwa mkapa kutokana na utata wa kifo cha Nyerere
 
Wananchi wa Arumeru wameinyima ushindi ccm kuonyesha chuki yao kwa mkapa kutokana na utata wa kifo cha Nyerere
yaani na yeye kwa kivuli hicho ameongeza kasi ya kupunguza siku zake za kuishi
 
Thanks cdm da way 2 2015 is opened,mzee mkapa kala pesa zetu mwache aendelee na rafu zake zilezile bla succes.
 
nikiziona rangi za ccm tu,,,
znafanana na na rangi za umaskini.
nashukuru wana arumeru mmeliona hilo
 
peoples powerrrrr Asante Yesu kwa kusimamia haki ya wanyonge wa Arumeru,Kirumba,kiwira na Ruvuma,japokuwa nduli ccm alitaka kuvuruga kama kawaida yao.
 
Ameisha jinyea na anaona aibu kuonekana hadharani inzi watamzomea. Viva cdm
bigup sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom