Ushindi wa chadema arumeru:Ni ushindi wa Nappe dhidi ya Lowasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushindi wa chadema arumeru:Ni ushindi wa Nappe dhidi ya Lowasa?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by idawa, Apr 2, 2012.

 1. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,539
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  inaeleweka muda mwingi Nappe amekua akimtuhumu lowassa kwamba ni fisadi na anatakiwa kujivua gamba na iko wazi kwamba nappe hakuumunga mkono sioi kwenye kura za maoni na ndio maana uchaguzi ukarudiwa mara mbili kwa kigezo kwamba hakuvuka % zinazotakiwa.!!
   
 2. E

  ELX JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 259
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 60
  Ifikie wakati viongozi na watanzania na jamii kwa ujumla tukubali demokrasia ya kweli itendeke, naamini ukweli unabaki kuwa kweli, hii inajidhihirisha kwa yanayotokea kwa siasa za nchi hii!
   
Loading...