Tujikumbushe Joshua Nassari na uchaguzi wa BAVICHA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujikumbushe Joshua Nassari na uchaguzi wa BAVICHA

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Kiboko Yenu, Mar 26, 2012.

 1. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  inasemekana alipata kura 2 sasa kama wanachama wenzake hawamuamini arumeru mnamuamini vipi?
   
 2. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Uchaguzi wa BAVICHA umeshaisha,wewe baki na kura zako mbili,hizo ni propaganda za kijinga
   
 3. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hahaha kweli dogo mchemfu, I'm sure ukichimba utakuta ana undugu na Mbowe au Slaa...
   
 4. N

  Ngoiva JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa kama inasemakana, wewe vp kuhusu utafiti wako unasemaje? Au umekurupuka kama magamba wenzio!
   
 5. A

  Awo JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 790
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Umesahau Arumeru 2010 alipata kura ngapi akishindana na Naibu Waziri wa Magamba?
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mleta mada ni kundi la walewale wataka urais
   
 7. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Hivi una taarifa kuwa alikuwa spika wa UDSM......unataka kumlinganisha na huyo shoga wa CCM...hahahah kweli umeamua kuchekesha
   
 8. M

  Malova JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Ongea vitu vyenye uhakika. Ukiambiwa MASABURI yako utakasirika?
   
 9. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,059
  Likes Received: 7,276
  Trophy Points: 280
  "Inasemekana" maana yake nini???
  Una uhakika na Unachokinena????
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Habari imekaa kiudaku udaku sana!
   
 11. L

  Lsk Senior Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...hapa natutaki habari za kusemekana. Ndo matatizo ya kufakamia gongo bila kushiba!!
   
 12. l

  luckman JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  panueni midomo yenu weeeee mwisho mtarudi mikono nyuma sura na bichwa zenu chini!
   
 13. Simba Mangu

  Simba Mangu JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Kamanda nanyaro kuna watu wengine wamezoea mambo ya msanja tuwaache hao ,na propaganda mfu twende mbele mpaka kielewekee
   
 14. Loy MX

  Loy MX JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kajipange kwanza!
   
 15. Chiwaso

  Chiwaso JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 1,732
  Trophy Points: 280
  teh teh teh, wadahu tusaidieni kulizungumzia hili. kwa maana lisemwalo.............
   
 16. Chiwaso

  Chiwaso JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 1,732
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo unataka kusema kubebwa. au hawana mtu competent wa kusimama arumeru zaidi yake. naungana na wewe kusimamishwa kwake pale panatia mashaka hasa.
   
 17. Chiwaso

  Chiwaso JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,561
  Likes Received: 1,732
  Trophy Points: 280
  sawa uliisha, lkn tulijifunza nini juu ya kura 2 alizopata.,? inawezekana hana mvuto ndini ya chama? kwa nini hana? je inawezekana akawa na mvuto nje ya chama na hasahasa arumeru? kukimbilia kusema kuwa hizo ni propaganda ni dalili za kuishiwa hoja jambo ambalo si zuri kwa wana cdm. tulikuwa tunapaswa kujiridhisha vya kutosha kabla ya kumsimika pale.
   
 18. RICH OIL SHEIKH

  RICH OIL SHEIKH JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 882
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kura 2 duh; ina maana alipata kura yake mwenyewe na ya mkewe tu. teh teh teh
   
 19. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,703
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  kweli wewe ni MBUMBUMBU.
   
 20. B

  Bwana Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani wengine hatuelewi. Alipata kura 2 wapi? Nahitaji kueleweshwa ili nami nijiunge na wanotukana au nisikitike. Japo kutukana siwezi. Sijazoea tabia hiyo ila naomba nieleweshwe kura 2 zilikuwa za nini na ni kati ya ngapi? 3 au?
   
Loading...