Wachakachuaji waendelee kufa ili haki itendeke

Wachakachuaji waendelee kufa ili haki itendeke

KIMBURU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
210
Reaction score
189
Ndio! wale wote walioko madarakani kwa kuiba haki ya watanzania kwa kuchakachua kura ambazo ndio sauti ya watu ni bora itokee kama Arumeru ili haki itendeke kwani mahakama zetu zinaonekana kuto kutenda haki, kwa kuwalinda hao wanaodhurumu haki za raia.
 
Back
Top Bottom