Heloo JF Members and Big Chadema keep it up until 2015

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Hello JF members ninayo furaha kubwa kujiunga na mtandao wawanajamii kutoa michangao mbalimbali ya ukombozi wa nchi yetu na bara la Africa. Kwa leo napenfa kuipa hongera Mh, Nasari, viongozi wa Chadema na wanachama na mashabiki wao wote, Aidha napenda kuwapa pole wana CCM wote kwa kupoteza Jimbo kwani hizo ndio siasa na asie kubali kushindwa sio mshindani. Kwapamoja sasa tushirikiane kujenga nchi yetu na kuhakikisha nchi yetu ya Tanzania inapata Katiba huru katika mchakato wa katika utakaonza hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom