Chama makini ni kile kinacho amini nguvu ya wanachama wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama makini ni kile kinacho amini nguvu ya wanachama wake

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TEMILUGODA, Apr 2, 2012.

 1. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,367
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana bndi,nimeamini chama cha siasa chenye nguvu ni kile ambacho kinashirikisha wanachama na wananchi katika mipango na taratibu zote za ufanisi wa ujenzi na utekelezaji wa sera za chama.Mimi binafsi nawapongeza CDM kwa namna wanavyotekeleza hayo.MWISHO NAPENDA KUWA MAKINISHA WANACHADEMA WOTE KWAMBA MSHIKAMANO MIONGONI MWAO NDIO UTAKAO ZIDISHA NGUVU YA CHAMA,ACHANENI NA NGA KILA AINA YA HILA EG.MTAZAMO WA MWANACHAMA NDANI YA CHAMA SI UADUI BALI NI CHANGAMOTO AMBAZO CHAMA NI LAZIMA IZITATUE NA HATIMAYE BUSARA HIZO ZITAKITAMBULISHA CHAMA.MWISHO NAWAPONGEZA MAKAMANDA WOTE KWA NAFASI ZAO KWA NAMNA WANAVYO KING'ARISHA CHAMA.BIG CHADEMA
   
Loading...