Je CHADEMA wana nini cha kujifunza katika ushindi huu wa Arumeru? Toa maoni ya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je CHADEMA wana nini cha kujifunza katika ushindi huu wa Arumeru? Toa maoni ya

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by everybody, Apr 2, 2012.

 1. everybody

  everybody JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwanza nitoe pongezi nyingi kwa CHADEMA kwa ushindi huu wa kishindo. Ni muda mrefu sana tumekua tukisubiria ushindi wa CHADEMA kwenye changuzi ndogo, walau leo yametimia.
  Sasa nafikiri ni wakati muafaka wa kutafakari ni kitu gani ambacho CDM ilikua ikikosea katika chaguzi ndogo zilizopita, au hata katika yale majimbo ambayo CDM haikuchaguliwa mwaka 2010.
  Tutoe maoni yetu juu ya mambo gani ambayo yameiwezesha CDM kushindi ili iwe fundisho kwa siku zijazo. Kwa wale ambao wapo Arumeru (hasa) wapiga kura walioichagua CDM wanaweza kua na mchango mzuri juu ya hili.

  Kwa kuanzia tu mimi nafikiri CDM wametumia vizuri weakness iliyojionyesha kwa viongozi wa CCM wakati wa kampeni, tukianzia na Mkapa kumtenganisha Vicent na familia ya Nyerere, kwa kumalizia na matusi yaliyoporomoshwa na Lusinde. CHADEMA walitumia busara katika kukabiliana na hali hii, hawakukurupuka ila kuendelea kuweka focus kwenye matatizo ya wana Arumeru na jinsi ya kuyatatua.

  Nini mawazo yako juu ya kilichoisaidia CDM kushinda Arusha?
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,914
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Kwani matokeo rasmi yameshatangazwa?
   
 3. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  ulinzi wa kura ni kitu cha msingi sana na kimechangia CDM kushinda.
   
 4. Mubezi

  Mubezi Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  subiri kwanza furaha iishe mana umefanya haraka mno,nitashindwa kuchangia vizuri!!!!
   
 5. b

  busar JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Umasikini wa waTz unachangia cdm kuimarika, so ccm tunajielekeza katika sera za kuinua uchumi wa wananchi
   
 6. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Tangu awali Mi binafsi nimeshasema hili.

  ccm hawana mbinu tena!
  Na zaidi ya yote ni kwmb hila na mbinu zao hakika tunayo mifukoni.

  Hawana bahati tena hawa mafisadi!
   
 7. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kuhamasisha wananchi wajiandikishe na wajitokeza kupiga kura pia kutoa elimu ya utaratibu wa kupiga kura.
  Kwani matokeo yametangazwa/ yakoje?
   
 8. u

  ureni JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,272
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  MKUU MATOKEO YATATANGAZWA CHADEMA IMESHINDWA KWA KURA CHACHE NA CCM IMEIBUKA KIDEDEA USTASEMAJE?Manake waliohodhi kila kitu ni CCM,Tume ya uchaguzi ni ya CCM we subiria huruma ya CCM.
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Matokeo yameshatangazwa rasmi kitambo Kamanda!

  Wao wana pesa sisi CDM tuna MUNGU aliye hai!
   
 10. I

  Iddy Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yametangazwa kitambo sana mkuu,
  CHADEMA-32,972
  CCM-26,757
   
 11. M

  Mpemba asilia Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Viva Chadema,Peopleees power!
   
 12. wizaga

  wizaga Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  matokeo yameishatangazwa na chadema imebeba jimbo,nikichangia hoja ,nikwamba yaliyotokea igunga pia ilikuwa shule nzuri kwa chadema ,mfano kufanya kampeni kanisani au kutumia nguvu ya dola kuleta vulugu isyo ya msingi ili mambo yao yapite na pia kuingiza masanduku bubu au kuweka vituo vya kupigia kura bubu.nk nawakilisha
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wajue kuwa Wananchi tunawapenda, tunawaamini hivyo wasijewakalewa sifa wakatugeuka.
   
 14. m

  mkatangara Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilichojifunza kwenye uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki ni kwenye haki kuna amani na nimpongeze sana msimamizi wa uchaguzi kwa kuwa mkweli. Ametangaza matokeo ya kweli wananchi wote wameyakubali wametawanyika kwa amani wamejimix na askari polisi wakati wanatawanyika , naamini kama matokeo yangechakachuliwa sasa tungekuwa tunasikia Arumeru Mashariki ni vurugu. Kwa maantiki hii naamini kabisa ktk uchaguzi wa 2010 pale pote kulipotokea fujo baada ya matokeo kutangazwa mf Jimbo la shinyanga mjini. Matokeo yaliyotangazwa hayakuwa ya kweli
   
 15. v

  victor11 Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wapiga kura wengi wa CDM wanaonekana kuwa ni vijana wa umri kati ya 18 na 40. Wengi wao hawa wanakosa uraia, wengi wao hawa huwa hawapigi kura, hivyo CDM iko kwenye wasaa mzuri sana wa kucapitalize kwa hili kundi na kupata matokeo mazuri zaidi kwa changuzi zijazo.
  Kumbuka kundi linalopiga kura ni lile la watu wazima ambao wengi ni product ya Nyerereism, hili kundi linaondoka, CCM wameshindwa kuandaa succession plan ya hili kundi ambayo hii ni opportunity kwa CDM, People's Power.
   
 16. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  MUNGU MKUBWA !!!!!!! Hongera CHADEMA !!!!!!! Kikubwa ni kulinda kura, na kushirikiana vizuri na watu wa tume, serikali na usalama ambao wengi kwa sasa wamechoshwa na CCM.
   
 17. Mtanga Tc

  Mtanga Tc JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nadhani kwa viongozi wa Chadema kuendesha kampeni kwa hekima na busara,pia kusisitiza amani was a plus!Nakumbuka sEmi kama "chagueni mbunge mnayempenda" ambazo nimezisikia toka kwa viongozi hawa imekuwa chachu kuhamasisha wananchi kuona mwelekeo ulio sahihi kwa CDM.Chadema kinahitaji kulinda amani ndani ya chama kwa gharama zote.... HONGERA sana Peoples Power!
   
 18. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  This is a wonderful day, siku ya furaha!!! Mungu yupo nasi-
   
 19. c

  collezione JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Chadema fanyeni kazi. Msilewe na haya matokeo. WaTanzania wana imani na nyie. Onyesheni kazi kwa vitendo
   
 20. c

  collezione JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Fanyeni kazi 2015 sio mbali. Mtapoteza kura msipofanya kazi
   
Loading...