Maombolezo ya CCM

KisakoKivuyo

Senior Member
Mar 28, 2012
151
45
familia ya ndugu ARUMERU MASHARIKI inafurahia kutangaza kifo cha ndugu CCM, kilichotokea USARIVER tarehe 1.4.2012 kwa kurambwaaaa na CHADEMA, habari ziwafikie KIKWETE, MKAPA, LOWASA, KIJANA MZINZI, WASRA, SIOI NA LUSINDE popote walipo. bwana alitoa, bwana ametwaa, jina lihimidiwe.
 
Aminaaaaaaaaaaaaaaa,

Peoples power, huu ni ukombozi wa wana Arumeru, sasa Nassari fanya kazi baba uwathibitishie kuwa haujabahatisha kupewa ubunge, bali unaweza ili 2015 tusiwe na haja ya kupiga kampeni bali utayoyafanya ni kampeni tosha.
 
hahahaha ubwabwa wa bure na chumvi kwenye kilio watapata wana ccm wote watakao kwenye msiba
 
Nani amwona lusinde mahali natafuta kinyama tafadhli ukimwona nijulishe mara moja nina ujumbe wake muhimu sana. Tena ikiwezekana na Sioi na E.L alietuhakikishia kuwa Ataapishwa tarehe 3
 
Hahahaha! Dah!

Mi najiuliza hivi Rais Mstaafu aliyepaswa kuwa mlezi wa vyama vyote mhishiwa N'kapa atakuwa wapi saa hizi?

Namwonea huruma sana lakini aliyataka mwenyewe.

Mwingine nayemwonea imani sana ni Edoboy... Mkwewe ndo hivyo tena.

Sijui atakuwa kisharudi ujeremani?
 
R.I.P CCM
msiba uko wapi??? wachimba kaburi liwe refu sana zaidi futi 10.
 
Back
Top Bottom