Shy Town Alitangazwa aliyeshindwa Mshindi kwa totauti ya kura 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shy Town Alitangazwa aliyeshindwa Mshindi kwa totauti ya kura 1

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by spencer, Apr 1, 2012.

 1. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,556
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Yaliyotokea 2010 komaeni yasitokee kabisa Arumeru.
  Shilembi (CDM) alimshinda Masele(CCM) lakini kuna mkubwa mmoja alialzimisha matokeo yawe kinyume nyume, ila damu ilimwagika. hadi leo huyo mbunge hawez kusimama jukwaaan Shinyanga.
  Wasi wasi wangu, hali hii ya kugoma kutangaza mapema huko Arumeru mashariki inaweza kuwa ubabe ule ule,lindeni kura vijana:washing::washing:
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,833
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  tatizo shinyanga ziwa victoria haliko mbali. Hakuna supu ya samaki. Ungese kama huo wasingejaribu Mwanza
   
 3. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,556
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Haki ya nani Tifu ilikuwa si ya kitoto, basi hata ile kesi imekosa nguvu baada ya Silembi kufariki.
  Nimetoa tahadharisho ili tusirudi tulikotoka.
  Peoplessssssssssssssssssssssssss
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,447
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  mkuu, Kamanda Lema anasimamia show yote leo CCM amebanwa kila kona hakuna kufurukuta na next week Lusinde anashitakiwa lazima akanyee debe!
   
 5. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,556
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Lema ni Jembe, hapo hawatoki
   
 6. m

  motema yapembe Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  c walisema lema marfuku arumeru?
   
 7. N

  Naytsory JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,405
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mungu yupo upande wetu Chadema tuna matumaini zaidi ya hayo ya Arumeru, e mwenyezi ibariki Chadema.
   
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,764
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Mungu yupo upande wetu watanzania!
   
 9. R

  Ruppy karenston JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwisho wa mafisadi umefika,watanzania wamefunguka macho sasa
   
 10. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  RIP Marehemu Shilembi!
   
 11. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,616
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Lusinde yule ni mpumbafu kiasi kwamba natilia shaka ubunge wake!
   
 12. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,019
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  shaka ya nini ? Kwani ujui kama alifanya hila hili kupata ubunge. yule mwizi tu kama mwizi mwingine CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO 2012 ARUMELU
   
 13. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,556
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Tumebana hadi Dk 15o za nyongeza.
   
Loading...