Anguko la ccm arumeru mashariki ni fundisho kwa wanasiasa

Kasimpya

Member
Apr 2, 2012
16
2
Wanajamiiforums, baada ya matokeo ya uchaguzi wa jimbo la Arumeru Mashariki kutangazwa na mgombea wa CDM Joshua Nasari kuibuka mshindi, mimi nina mawazo yafuatayo:
  • Wananchi sasa hivi wameanza kujua haki zao na kwamba wameanza kukataa kudanganywa na wanasiasa;
  • Wanasiasa wanatakiwa kutimiza ahadi zao walizoahidi kwa wananchi baada ya kushinda uchaguzi;
  • Wanasiasa wanatakiwa kuwa karibu sana na wananchi waliowachagua na siyo kukimbilia Kuishi Dar mara baada ya uchaguzi;
  • CCM imeanza kupoteza mvuto kwa wananchi;
  • CCM wakae chini na kutafakari kulikoni; etc
Hayo ni mawao yangu.
 
KWA kweli katiba mpya iweke kipengele cha kuwataka wagombea wawe wamekaa KWENYE jimbo SI chini ya miaka mitatu
 
Wanajamiiforums, baada ya matokeo ya uchaguzi wa jimbo la Arumeru Mashariki kutangazwa na mgombea wa CDM Joshua Nasari kuibuka mshindi, mimi nina mawazo yafuatayo:
  • Wananchi sasa hivi wameanza kujua haki zao na kwamba wameanza kukataa kudanganywa na wanasiasa;
  • Wanasiasa wanatakiwa kutimiza ahadi zao walizoahidi kwa wananchi baada ya kushinda uchaguzi;
  • Wanasiasa wanatakiwa kuwa karibu sana na wananchi waliowachagua na siyo kukimbilia Kuishi Dar mara baada ya uchaguzi;
  • CCM imeanza kupoteza mvuto kwa wananchi;
  • CCM wakae chini na kutafakari kulikoni; etc
Hayo ni mawao yangu.

Hapo kwenye mstari fanyia masahihisho na isomeke hivi... "MAGAMBA wamepoteza mvuto kwa wananchi"
 
You are right. Not only for CCM, but for all other parties.Kwa sababu hata viti vilivyochukuliwa na vyama vingine inawezekana vikaota mbawa ktk chaguzi zijazo, kama uliyosema hayatazingatiwa.
 
Back
Top Bottom