Joshua Nassari ana wakati mgumu sana kushinda ubunge Arumeru kutokana na mila zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joshua Nassari ana wakati mgumu sana kushinda ubunge Arumeru kutokana na mila zao

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Ritz, Mar 21, 2012.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Wanabodi,
  Kwa mujibu wa habari kutoka kwa wakazi wa Arumeru Mashariki wanasema mgombea wa Chadema Joshua Nassari, nafasi yake ya kuchukuwa kiti cha ubunge ni ndogo sana.

  Katika mila zao Wamasai na Wameru hazitofautiani sana. Wazee wa kimila wamesikitishwa sana na kitendo cha Chadema kuwaletea mtoto ili awaongoze.

  Wanasema Nassari, bado mtoto analelewa na wazazi wake, hana mke hana mtoto, hatuwezi kumpima hata kwa uongozi wa familia yake, anawezaje kuongoza wazee!

  Wanasema Nassari mwenyewe anajua mila na desturi zetu Wameru, haziruhusu watoto kushiriki vikao vya wazee.

  Nassari anajitetea kuwa mbona wengine hawajaoa kina David Silinde, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi, John Mnyika.

  Wazee wakamwambia hawa wote wana mila na desturi zao, inawezekana baadhi yao hawana hata mila moja.

  Hiyo haiwezi kuhalalisha sisi tuvunje mila zetu kwa kuongozwa na watoto wadogo ambao wanalelewa na baba na mama.

  Hizo mila desturi za Wameru na Wamasai ndio limekuwa tatizo kubwa kwa Jossua Nassari kushinda ubunge.
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwani yeye ni Melaiti, au Morani. Labda ni Luigunani?
   
 3. S

  STIDE JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Inawezekana wewe unazijua zaidi mila kuliko wale wazee wa kishili waliombariki Joshua Nasari!!
   
 4. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Aisee!Mbona unatambaa kwenye mstari uleule wa BWM,Ole,na Wasira?!Kwani NASSARI anagombea cheo cha kimila/kijadi au?!
   
 5. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  utasingizia kila kitu brooo lakini msema kweli tarehe 1/4/2012
   
 6. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  What a post.......oh what a post
   
 7. M

  Mujwahuzia Senior Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mujwahuzia:
  Mawazo yako ndugu yetu ni mazuri lakini yamepitwa na wakati kwani shida kubwa tunazozipata watanzania ambazo zimesababishwa na chama kinachotawala yaani CCm kwa miaka yote na kuonyesha mabadiliko siku hizi wamasai wengi wanavaa Sutiiiiiiiiiii hilo linonyesha kuwepo na mbadiliko naomba usaidie kuelimisha jamii yenye uelewa mdogo kufanya babadiliko .Mujwahuzia
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona siku hizi mmepota ghafla wewe na kampani yako??kuna wakati mnakuwa mpo mnasoma mada tu bila kuchangia,nini kinaendelea kwenye kambi yenu au mambo ya kutokuelewana!nasari ana umri wa kumziri Nyerere alipoanza kazi!
   
 9. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Joshua Nassari hatafuti uongozi wa kimila bali wa kisiasa na upigaji kura hapa haupigwi na wazee wa kimila tu!

  Kwa hili badilisha mtazamo RITZ.
  Mambo ya kuongozwa kwa kigezo cha umri,jinsia,kabila,dini na vingine kama hivyo havina hoja kizazi hiki.
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Waamuzi wa mwisho ni wameru wenyewe tar. 01/04
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kinyesi
   
 12. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thread mavi.
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wazee wa kimeru wanataka maji safi na salama, wanataka barabara zipitike kipindi chote cha mwaka, wanataka watoto na wajuu zao wapate elimu bora, wanataka vijana wao wapate ajira, wanataka wamama wakienda kuuza bidhaa zao wasisumbuliwe na wezi wa ushuru, wanataka usalama wao na mali zao.Hayo ndiyo mambo wazee wa kimeru wanataka.

  Kwa miaka 50 wamekuwa chini wa 'watu wazima' na hakuna chochote kilichofanyika sana sana hata ardhi ya kulima imechukuliwa na 'wawekezaji'. CCM wanatikiwa watoe majibu kama kwa miaka 50 wameshindwa kwanini watu waendelee kuwaamini? Na CHADEMA wanatakiwa waseme watafanya nini tofauti na CCM ili kuondo adha zote hizi?. Ifike mahala kama taifa tuanze kuongea vitu vyenye kichwa na miguu. Ndani ya Afrika Mashariki hakuna nchi yenye rasimali kama Tanzania lakini bado watu wanalala njaa! Na ukiniuliza ni kwanini jibu ni mtindo wa zidumu fikra za mwenyekiti. We have to ask hard questions, hatuwezi kutegemea mfumo ule ule wa kulishwa matapishi.
   
 14. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni mila na desturi za Wameru na Wamasai ambao wengi wao ndio wakazi wa Arumeru.

  Na hawataki siasa zivuruge mila zao wazee wa Ngarananyuki na Usa River wanasema.
   
 15. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  This message is hidden because ritz is on you ignore list!
   
 16. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #16
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Yaliyotokea uchaguzi wa igunga na uzini ndiyo yatakayotokea arumeru . Vuvuzela pigeni ila ukweli ndio Kama kawa.
   
 17. JOB SEEKER

  JOB SEEKER Senior Member

  #17
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nassari hagombei kuwa kiongozi wa kimila, bali ni kiongozi wa kisiasa na kiserikali, hivyo hapimwi kutokana na mila na desturi za uongozi wa kimila za jamii ya Waarusha, Wamaasai na Wachagga n.k. Kwa nafasi anayogombea ya ubunge ni kiongozi wa makabila yote yaliyoko katika Jimbo la Arumeru mashariki wakiwemo Wanyaturu,wanyeramba(mwigulu),watu wanaotoka mara,na wewe (RITZ).
   
 18. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #18
  Mar 21, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mlisema sana tangu mwanzo hadi Tendwa akawaunga mkono juu ya hawahawa wazee wa kimila tatizo lenu hamtofautishi juu ya aina ya uchaguzi unao fanyika sasa

  " HUU SI UCHAGUZI WA KIMILA"
   
 19. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Na yale maelfu ya kura aliyopata wakati wa uchaguzi wa 2010 yalitoka wapi?
  Alafu umezungumzia wazee tu. Kumbuka idadi ya wazee ni ndogo sana. Na kundi kubwa ni vijana.
   
 20. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Tatizo la Arumeru hata vijana wanafuata wakuu wao wanachosema LAIGWANANI na WASHII.
   
Loading...