wabunge wa chadema waongezewe ulinzi- hawa ni hazina kwa taifa

mabadilikosasa

JF-Expert Member
Dec 23, 2010
379
85
kitendo cha wabunge wawili wa chadema kuvamiwa na kupigwa sii kizuri. sharti wabunge wote wa chadema wapewe ulinzi wa kutosha na chama. mbunge mmoja wa chadema ana dhamani kubwa saana kwa taifa hili. dhamani ya mbunge mmoja wa chadema sawa na wabungu 50 wa chama cha magamba
 
Back
Top Bottom