Nivizuri tukapata ufafanuzi wa kauli hii

Imany John

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
2,930
1,165
huyu Mr angekuja kutoa ufafanuzi wa kauli yake hii...
" By Mwigulu LM Nchemba: Rais Bush kuwa Rais wa
Tanzania kuliko chadema
kushinda arumeru. Hata bila
utafifi hivi barcelona ikicheza
na meru united mechi ya
mtoano hata kama refa ni mmeru barca itashinda tu. Ni ratiba tu na formality lakini Ushindi wa CCM uko given kama jua kuzama "

Nawasilisha.
 
Maelezo, ufafanuzi, mchanganuo, yote yametolewa jana kwenye kura 32,972. USIUMIZE KICHWA.
 
Ni maneno tu

Ni kweli hayo ni maneno tu kama yale yaliyosemwa na Askofu mmoja kwamba Kikwete ni chaguo la Mungu, tangu lini Mungu akawachagulia waja wake ugumu wa maisha??? na kwa kosa gani??
 
Back
Top Bottom