Mheshimiwa Lowasa baada ya matokeo ya Arumeru unasemaje? Hapo vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mheshimiwa Lowasa baada ya matokeo ya Arumeru unasemaje? Hapo vipi?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by kimalando, Apr 2, 2012.

 1. k

  kimalando Senior Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mheshimiwa huyu alitumia single hii kumnadi mkwewe. Atokee sasa uwanjani baada ya matokeo aendeleze single yake hii nadhani atapata wateja.
   
 2. V

  VLADIMIR ENDINGU Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani huo ndio mwisho wa safari yake kisiasa.
   
 3. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  nadhani we ni miongoni mwa wanaoandkia bpngo flava kwenye exm booklets....unakuja vibaya..utaondoka vibaya
   
 4. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Atakuwa anajiandaa kurudi ujerumani kwa prof wake wa stroke
   
 5. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,057
  Likes Received: 3,084
  Trophy Points: 280
  Alisema amerudi na yuko tayari kwa mapambano sasa sijuhi siraha zake ziliibwa kabla hazijafikishwa site,ama kweli huyu mzee anaumwa tena sana


  Hapo POOOOOOOWA Sana!!
   
 6. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  piiipoooooooooos...
   
 7. l

  lina Mongi Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hawezi kuongea chochote, pressure inapanda pressure inashuka. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeees poweeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrr mpaka Monduli mvunguni mwa kitanda alikoenda kujificha kwa aibu. SHAME SHAME SHAME kwa CCM na magamba wote
   
 8. b

  bakenyile Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chanzo cha kushindwa CCM huko Arumeru ni kumtumia Lowassa jukwaani kwenye kampeni hizo za Ubunge.
   
 9. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Mheshimiwa kwa lipi!!!!!!!!!!???? Ebu sema Lowassa, acheni upuuzi bwn. Mtu ametuhumiwa kwa makosa lukuki hii ya kuendelea kumtukuza inatoka wapi bwn?

  Alafu kule akuwepo Lowassa peke yake, Ongelea viongozi wote na chama cha CCM. Na JK yumo. Wewe unatuletea Lowassa tuamini kuwa wale watoa matusi wengine hawakuwepo.....?????
   
 10. a

  arinaswi Senior Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  na hao watoa matusi ndio tunaowataka hapa!!! akina lusinde!! n.k

  kwanza lowasa asingethubutu kuongea kwa vile ameukana umeru akajibandika umasai na wakati yeye ni mmeru. alishawakana ndugu zake wameru. baba yake mmeru na mama mmasai
   
Loading...