Mkapa utarudisha ardhi uliyoicheua kwa wameru? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkapa utarudisha ardhi uliyoicheua kwa wameru?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by msambaru, Apr 2, 2012.

 1. m

  msambaru JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Mbwebwe za kumnadi sioi zimemfikisha pabaya wiliam, amesurrender shamba lake kwa wenyeji akijua atajacheza kale kamchezo kake kama mwekezaji baada ya ccm kushinda, je atataka alirudishiwe kwa lazima?
   
 2. E

  Eyoma Senior Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaazi kwelikweli.lazima atekeleze ahadi zake za kumwona mkulu ili ardhi imilikiwe na wa meru.siasa bana
   
 3. k

  kijembe Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  huyo ni mtoa ahadi hewa zisizo na mashiko kwani cku zote hakujua hayo wakati an mamlaka?
   
Loading...