kwa kweli nafurahi sana ninapoona mabadiliko katika majimbo mbalimbali nchini,
lakini roho inaniuma sana kuona wilaya yangu ya same imesahaulika kabisa.
Viongozi wa juu wa chama na wale wa wilayani hawajafanya jitihada yoyote kuhakikisha walau jimbo moja ccm inaliachia.
Nakumba last election katika jimbo la same magharibi walichaguliwa mgombea ambaye walijua kabisa hatashinda!
Ni kweli wananchi wenyewe ndo wanaamua mabadiliko ila ushawishi wa viongozi katika kuwatoa matongotongo wananchi ni muhimu ili wajue ni kwa nini wanatakiwa kuikataa ccm.
Inaniuma sana....