CHADEMA na Tanzania tunayoitaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA na Tanzania tunayoitaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ANDENDEKISYE C, Apr 2, 2012.

 1. A

  ANDENDEKISYE C Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale wanaofuatilia mambo, wataungana namikwamba, kwa namna ya kuandaa viongozi bora, kwa maana ya kutoa fursa stahikikwa watu wenye sifa za uongozi, CHADEMA ndiyo kinara katika hilo. Ni wazikabisa huko tulikotoka, na mpaka sasa, ktk CCM mara nyingi pesa chafu zimekuwazikitumika kupata viongozi na hivyo hata wachache ambao wangefaa kuwa viongoziilikuwa ndoto zao zinakatika. CHADEMA, chama makini(Kila Mtanzania anajua-hataCCM wanajua), kimeendelea kuonyesha kutoa fursa na kueleza nini maana yakiongozi. Kiongozi ni Yule anayeonyesha njia, si lazima awe na fedha za kutokamfukoni mwake, bali aweze kubana serikali ili kodi zetu zitumike kwa malengoyaliyokusudiwa. Kwa kuwa tunajenga nchi na si chama, na kwamfumo wa sasa, siasa ndio inaongoza nchi zote duniani, hivyo basi, vijanawasiona na vyama, hata wale walio nje ya CHADEMA napenda kuwapa wito wa pekee,waje CHADEma ili kwa pamoja tuijenge nchi ile ambayo hata Mwl Nyerere aliipigania. Kipi kama CHADEMA, nani kama viongozi waCHADEMA, Viva CHADEMA, mabadiliko yamefika. Mwisho, kwa watani wetu CCM,tunaomba kila wakati mjitizame wapi mlipoanguka kuliko kughiribu wananchiwakati hali halisi inaonekana kwamba kama nchi tumefika hapa pabaya kwa sababuya CCM na serikali inayoinongoza. Pasipo kuwachosha, hebu fikiria tu manenoyafuatayo,, EPA, RICHMOND, MBAGALA, GONGOLAMBOTO, MFUMUKO WA BEI, KURA.Unganisha nukta. TUTAFAKARI, TUCHUKUE HATUA
   
Loading...