If you want to feel the joy, you must be willing to suffer. CDM, imepambana na kushindwa, sehemu nyingine kwa hila na wizi, kwa mara nyingi sana mpaka ikawa inakatisha tamaa, lakini sasa wamewapa wanachama wake na mashabiki kile kitu walichokuwa wanakisubiria kwa muda mrefu sana
Kwa hamasa hii, ari hii na ushindi huu, hakika ukitokea uchaguzi mdogo mwingine, CCM watakuwa na kazi ya ziada. Moto huu uwe mpaka 2015. Hata muwinda huwindwa, sasa ni zamu yao kusoma namba. It is the beginning of the end