Mbona waziri sita anajichanganya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbona waziri sita anajichanganya?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by onyangod, Apr 2, 2012.

 1. o

  onyangod New Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tutafurahi sana endapo waziri sita ataacha kuchefua watanzania. Ni vigumu kusikia kila siku anahubiri kuhusu ufisadi ndani ya ccm.Sita angejua kwamba hawezi kuleta mabadiliko yeye na marafiki zake Mwakyembe na Mwandosya akiwa ndani ya chama mfu.Lazima Sita akubali kwamba wa Tanzania wameamka na wanataka mabadiliko na siyo mabadiliko ya kuletwa na ccm.Kama kweli anahitaji mabadiliko asome nyakati na kama anapenda kuleta madiliko na waropokaji kama akina Lusinde, Nape,majimafupi na mwigulu basi asubiri kuzikwa na ccm 2015. Sita alikuwa ankubalika kweli lakini kwa sasa hivi antakiwa ajiunge na waleta mabadiliko.
   
Loading...