Siasa yataka moyo lazima ujitolee maisha yako jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa yataka moyo lazima ujitolee maisha yako jamani

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by mchambuzixx, Apr 2, 2012.

 1. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hivi jamani unapambana na serkali nzima usalama wa taifa jeshi la polisi tume ya uchaguzi na bado unashinda kwa kutumia nguvu ya umma kweli nimeamini silaha pekee aliyonayo mnyonge kwa watawala ni sanduku la kura hakuna kingine mana ile kamata kamata pale arumeru na wale polisi na fedha iliyomwagwa pale na bado joshua kashinda hilo,

  nahisi litakuwa funzo kubwa kwa ccm mana wao ndo wenye dola wengi waliahidi kuja kujenga barabara,maji kurudisha ardhi lakini wapi watu wanachotaka ni kuchagua watu wa kwenda kusimamia kodi zao zijenge hio barabara maji na kuendeleza elimu sio kujengewa au kuchimba visima kwa fedha za kifisadi hio watu sasa wameshaanza kufunguka,

  mwingine ana ahidi kuleta greda lake kirumba na anasema tayari ana madawati 200 anasubiri tu masamaki ashinde ndo alete wakati kwenye jimbo lake rorya wanafunzi wanakaa chini jaman gachuma nae anaahidi maji kwa pesa zake wakati ana notes ya mahakama kumtaka ahame kwa sababu ana deni la mil 34 la NHC na kwenye kiwanda chake kule igoma mwanza mitaro tu hajajenga ya kutiririsha maji taka anahatarisha maisha ya wana igoma sita nae anaahidi barabara wakati urambo vumbi tupu hivi jamani ni vituko tena sana ....wameumbuka kweli hawa watu, watu

  hawadanganyiki jamani na efect ya uchaguzi wa arumeru ni kubwa jamani kila kona leo tanzania ni arumeru na kifo cha CCM yaani kama kungekuwa na kauchaguzi popote ccm wangepoteana nahisi wangemtoa mgombea wa chadema kwa mapingamizi kabla ya uchaguzi..wapi shitambala uliouza jimbo letu mbeya vijijni ulinunuliwa sasa umetelekezwa na wengineo pesa sio kila kitu unaweza kuwa na hela na ukishindwa kumfikisha mwenza wako lazima atoke nje ya ndoa huo ndo ujumbe kwa magamba
   
Loading...