Namhusudu sana MBOWE!!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Pamoja na mambo yote yanayosemwa kuhusu Mbowe yeye atabakia ndiyo alama ya CHADEMA.

Tangu Mwaka 1992 CHADEMA ilipoanzishwa na Mtei na Mwenzake Bob Makani, chama hicho kimepata sura hii ilichonacho ya kuwa na nguvu ya UMMA kwenye uongozi wa Mbowe. Mbowe ndiye aliyeanzisha uvaaji Kombati ambayo sasa ni vazi Rasmi la vijana wa Kitanzania.

Kwenye uongozi wake rangi ya Bendera ya chama na falsafa ya imeuhishwa upya na chama kimepata taswira hii kilichonacho kwa jamii. Ingawa si "msomi" kama wapinzani wake wanavyomuona lakini yeye ndiye CHADEMA na CHADEMA imo ndani yake.
 
Ndiye aliyeanza kutumia rangi ya bendera ya taifa bila woga ktk helikopta kama utambulisho wa mtanzania!kwa sasa hata machinga wanaziuza!napendekeza awe mkiti wa kudumu he is very innovative!
 
wewe ndugu yangu una kauli ambazo zinkuonyesha uchi wako! raisi wa africa kusini J. Zuma kasoma wapi? acha fitina na majungu! ongelea mambo mengine?

Pamoja na mambo yote yanayosemwa kuhusu Mbowe yeye atabakia ndiyo alama ya CHADEMA.

Tangu Mwaka 1992 CHADEMA ilipoanzishwa na Mtei na Mwenzake Bob Makani, chama hicho kimepata sura hii ilichonacho ya kuwa na nguvu ya UMMA kwenye uongozi wa Mbowe. Mbowe ndiye aliyeanzisha uvaaji Kombati ambayo sasa ni vazi Rasmi la vijana wa Kitanzania.

Kwenye uongozi wake rangi ya Bendera ya chama na falsafa ya imeuhishwa upya na chama kimepata taswira hii kilichonacho kwa jamii. Ingawa si "msomi" kama wapinzani wake wanavyomuona lakini yeye ndiye CHADEMA na CHADEMA.
 
Sana tu huyu Kamanda anafaa sana ni jasiri hakuna mfano na kitu ambacho na mie namkubali ni kwamba hatishiki na kidudu mtu hawezi kununulika na hata ile kumuanzia ati tukununue sijui chama kama cha Magamba wataanzia wapi maaake wanamuogopa ni balaa.Misimamo yake pia babu kubwa hakuna mwenyekiti kama Mh kamanda wa ukweli Freeman Mbowe.Nasema 100% awe mwenyekiti wa kudumu maake mpaka sasa yeye ndio yeye.
 
wewe ndugu yangu una kauli ambazo zinkuonyesha uchi wako! raisi wa africa kusini J. Zuma kasoma wapi? acha fitina na majungu! ongelea mambo mengine?
Soma vizuri uweze kujibu kwa staha ili watu wakuheshimu!!
 
Kama wewe ni mpenda maendeleo sasa ni wakati wa umoja na si kutafuta sifa tuwaache CCM watafutane uchawi CDM mbele kwa mbele!
 
Yaa! He is VIP kwa chama na anaweza kuthubutu. Viva Mbowe, viva CDM! Ila kwa uwenyekiti wa kudumu siyo hasa kwa kuzingatia demokrasia as per jina la chama.
 
Huyo mtoa hoja anataka kutuondoa kwenye focus. SLAA is our target; no matter what...
 
Back
Top Bottom