Siri ya kushindwa CCM Arumeru Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri ya kushindwa CCM Arumeru Mashariki

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Do santos, Apr 2, 2012.

 1. D

  Do santos JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  habari za kuaminika kutoka chanzo cha uhakika ni kuwa ccm imeshindwa uchaguzi wa arumeru mashariki,ni kutokana na mvutano mkubwa unaoendelea katika kile kinachoitwa kujivua gamba.Kubwa ni kumkomoa Lowasa na jeuri yake ya pesa na ubishi wake wa kulazimisha mkwewe sioi sumari awe mgombea wa ccm,japo kamati kuu ilimkataa.Taarifa ni kuwa baadhi ya viongozi wa juu wa ccm wamefurahi kuanguka kwa ccm huko arumeru,wakidai ni anguko la Lowasa na matumizi ya fedha nyingi kuelekea uchaguzi 2015
   
 2. j

  joystaff77 Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio kumkomoa wameshidwa kihalali hakuna kutafuta mchawi......watu wamachokaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!:rockon:
   
 3. Jiwe Linaloishi

  Jiwe Linaloishi JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 3,734
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  siyo anguko la lowasa tu ni anguko la CCM na serikikali yake yake mbona serikali yote ilihamia kule kufanya kampeni?
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hili lina ukweli ndani yake na lina mchango wake katika ushindi wa CDM lakini pamoja na hayo bado walikuwa wamekalia kuti kavu.
   
 5. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  nimepita... mawazo yote nimeyachukua
   
 6. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kirumba, Kiwira na Lisbon wamemkmoa nani? CCM kimeshindwa na wala si kwa sababu ya Lowassa.
   
 7. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  CCM-Chama Cha Mafisadi na Majambazi kimeshindwa kihalali. Hakuna haja ya kutafuta mchawi na kulaumiana. Maana kama ni kulaumiana waanze na Mzee wa Ubinafsishai wa Kila Kitu-Mkapa mwenyewe, Waziri wa Usingizi-Steven Wassira,Meneja Kampeni na Kubaka wake za Watu-Mwigulu Nchemba,Lowassa Richmonduli na Nnape Nauye-Katibu wa Uenezi wa Uongo na Propaganda za Chama Cha Majambazi.

  CCM hakika wamevuna walichokipanda kwa miaka 50 iliyopita huko Arumeru East. Hii ni indicator kwamba come GE 2015 wembe ni uleule!

  Bravo CHADEMA. Hongereni sana Makamanda wa chama kwa kazi nzuri saaaana.

  God bless you all.
   
 8. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Tatizo ni kwamba ccm hawataki kufika mahali wakakiri kwamba chama chao kimepoteza mvuto kwa umma kwa kuwa kimepoteza dira, badala yake wanatafuta visingizio visivyo na kichwa wala miguu.
   
 9. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ccm msitaka kujifanya bado mnapendwa, pale hakuna cha kumkomoa lowassa wala nini.
  Wananchi wamewachoka, hamkubaliki tena.
   
 10. d

  dicaprio Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Picha yote ya Arumeru inapendeza. Bila shaka matokeo haya ni mema sana kwa wananchi wa Meru. kazi iliyobaki ni kuhakikisha mashamba ya mafisadi na migahawa yao inarudishwa kwa wenyewe, kwa heri au kwa shari. Nawashauri wachagga mujifunze kwa jirani zenu, msituchanganye mbele ya safari:frusty:
   
 11. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Siku ya kufa nyani? ..................................................
   
 12. R

  Renegade JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  Msitafute mchawi , mmezidiwa nguvu, huwezi kuzuia nguvu ya Wananchi wakiamua kuleta mabadiliko, hata uonge pesa bure.
   
 13. d

  davidie JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa magamba wametumia kila kitu cha nchi hii kwa manufaa yao, watumia magari ya serikali kwenye kampeni za chama, wametumia muda wa serikali pia kwenye kampeni za chama, haya jamaa ni wahujumu uchumi wa tanzania siwapendi ni wafujaji wa mali za walalahoi.
   
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,776
  Trophy Points: 280
  Hizo ni danganya toto za sizitaki mbichi hizi.
  In short CCM ni chama kisichoaminika mbele ya watanzania werevu.
   
 15. i

  isoko Senior Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  safari ndiyo imeanza 2015 hiyo sasa wananchi tujipange kupatikana kwa katiba mpya vivaa cdm vivaa tanzania
   
 16. g

  greenstar JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  LOWASA ni mbabe sana kwa jeuri ya fedha,ametengeneza mtandao wa kujihami ili tuamini kuwa yeye si fisadi wala hausiki na matatizo yanayoikumba nchi hii. Kama kweli LOWASA na CHENGE wanaipenda CCM basi ni fursa kwao kujivua gamba ili CCM mpya !
   
 17. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,975
  Likes Received: 727
  Trophy Points: 280
  Ni anguko la CCM si Lowasa pekee,maana wote ni magamba.
   
 18. e

  emkey JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kama libya vile, hamna wa kutuzuia pale tunapodhamiria kuchukua jimbo flani, haya sasa, siyoi subiri upewe kazi ndano ya kuwa balozi wa tanzania nchini somalia. teh....teh....teh....
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Umenena mkuu! Sijui ni kwa nini watu wanashindwa kuona ukweli kuwa ccm imeshachokwa na muhimu zaidi ni kuwa inaboronga kwa kila jambo la maana!
   
 20. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mnaacha kumlaumu mwenyekiti wenu kwa uongozi goigoi mnakwenda kumlaumu Lowassa; je mkijashindwa huko Segerea bado mtamlaumu huyo mmeru? Kuna haja ya ccm kufanya tathmini ya uongozi wa Kikwete na kuchukua hatua za kurestructure chama kwani hicho sio chama chake na amekikuta hawezi kukihodhi!! Kuna umuhimu wa kutenganisha urais wa nchi na uenyekiti wa ccm ili serikali na chama vipate watu fulltime wa kuviongoza badala ya sasa.Mkiambiwa ukweli kuwa chama kitamfia mikononi mnakimbilia kusema watu wachochezi; ukweli ndio huo kuwa mwenyekiti hana uwezo wa kukiongoza chama yuko kwenye kukusanya mali zaidi.
   
Loading...