TBC ni wanafiki sana bora ife milele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC ni wanafiki sana bora ife milele

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Apr 2, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,128
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  Kama kuna chombo ningekifukuza na wangekataa kutoka ningewamwagia tindikali ni tbc taifa
  televission na redio hizi zimekuwa mstari wa mebeele kuonyesha matukio ya kampeni za ccm tu lakini cha ajabu siku ya matokeo kule arumeru wakakimbilia kumhoji nassari wa chadema ambae nae si kwamba alikuwa akifanya kampeni zake angani labda wangeshindwa kupata habari zake la hasha ni unafiki na uzandiki na kama sauti ya watu sauti ya mungu ilivyojidhihirisha huko arumeru

  naamini mungu alie hai akawapotezee kabisa ...wameona hata aibu ya kumhoji sioi wakati walikuwa wakirusha habari zake pekee...ni upuuzi na uzandiki wa ccm kuhodhi mali za taifa na kujilimikisha kama mali za chama na hivyo kushindwa kutumikia taifa na badala yake kutumikia chama

  kama mh jk rais wa jamhuri ya muungano watanzania sauti ya watu sauti ya mungu napenda kukujulisha kama nassari alivyochukua jimbo kwa amani naomba jitayarishe na wewe kuutuachia ikulu kwa amani

  pplzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz p..................................................
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Tatizo ni kuwa waajiliwa wengi wa TBC ni makada wa CCM.
  Na nadhani hawajui kuwa iyo ni TV ya Taifa na si ya chama na inaendeshwa kwa kodi za wana CCM,TLP,CUF,CHADEMA ETC
   
 3. j

  jmnamba Senior Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili nalo neno
   
 4. k

  kilolambwani JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 395
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Itakufa muda si mrefu, usiumize kichwa chako, haipewi ruzuku na serikali maana serikali haina pesa, na wao tbc wameshasema hata camera nzuri za kufanyia kazi kwa sasa hawana, kwahiyo walishindwa kurusha matangazo yao vema kwa sababu haina vitendea kazi. HUKUMU YAO NI HAPAHAPA DUNIANI.
   
 5. L

  LOBOKO LOBII New Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na iweeee!
   
 6. maphie

  maphie Senior Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mkurugenzi wao mwenyewe wa sasa; uwezo wake wa kufikiri n mdogo mno!
   
 7. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,213
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  Mbona TBC ilishaondoka na Tido Mhando kitambo sana?
   
 8. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nami ninaiunga mkono kauli hii mia kwa mia
   
 9. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,769
  Likes Received: 2,671
  Trophy Points: 280
  Huko sahihi mkuu maana hata mtangazaji wa TBC aliyemuhoji Mbunge mteule-Nassari, alikuwa anaonyesha hali ya huzuni kuliko hata Siyoi mwenyewe
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  we dont have TBC we have CCMTV
  hata mchana wa saa 7 walitoa coverage kwa Nassari ilihali ktk kampeni hawakumpa sifa yoyote
  TBC ya ukweli imefia mikononi mwa Tido
  soon itakufa.labd airudishwe mikononi mwa umma na mkurugenzi wake achaguliwe na wwabunge kwa kupigiwa kura kama ilivo KBC na nyinginezo.itawajibika kwa wananchi na sio serikali ilio madarakani
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,128
  Likes Received: 5,570
  Trophy Points: 280
  tusiseme tu wafe tuanze maombi kwa Mungu kuiondoa ife milele kuanzie leo hii na mfungo wangu wa ijumaa lazima niitundike kwenye maombi maalumu wala nisisikie tena tbc daima
   
 12. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  tbc ni keroooooooooooooooooooooooooooooooo ...mshana umelogwa????????????????????...Naomba mwenye cv ya mkurugenzi mshana aiweke hapa........ili tumchambue...................................
   
 13. o

  obseva JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 450
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 80
  Kama kunakosa kubwa TBC wanafanya ni kujisahau kuwa wao ni chombo cha habari cha umma hivyo ni wajibu kutoa habari kutoka pande zote, lakini pia ni muhimu wafahamu kuwa kunavyombo vingi vya habari hivyo wanapasa kushindana kwa weredi na haki katika kuihudumia jamii, wakati wa Tido wafanyakazi wengi cna walijiunga na TBC wakitokea vyombo mbalimbali, naamini sasa wameanza kujuta na wantafuta namna ya kutoka TBC kulikojaa ubabaishaji na upendeleo wa kichama, hii ni hatari kama TBC wanataka kukua na kuwa na mtaji wake kiabiashara kwani hakuna mtu atawekeza mahali ambapo watu hawasikilizi wala kutazama. TBC fanyeni uchunguzi kidogo, ni mashirika mangapi ya serikari yamekufa kwa kutegemea ruzuku ya serikali? je ninyi ni nani hata msalie? mbona mlikuwa mneshapata mwelekeo wa kisoko na kupata watazamaji na wasilizaji wengi? nini kinacho waloga hata mshindwe kwenda mbele?

  Lakini fahamuni kila kitu ni kuchagua na unachochagua ndicho unapata malipo yake, mneelekea dijitali, sijui mifumo yenu bado ni shirika la UMMA au ndo mmeshapandiwa na wajanja ilimubaki jina na watu wachume juu yenu...na kadili mnavyopoteza mwelekeo ndivyo mnavyopotea kibiashara kwenye dijitali atawanuanua na kwakizuri kipi mnacho tangaza.
   
 14. n

  ng'wabuki Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toka moyoni nilisikitika sana kwa nini wakati startimes inaungua kwa nini haikutekea yote paoja na majengo yake kusudi wafanyakazi wake wabaki wanazulura tu kwakutotumia akili zao sawa kuwa tbc si ya ccm na kwa nini tanesco isikorofishe tena liungue lote tujue tuna tv za watu binafsi na hatuna za umma
   
 15. l

  lumbagengata Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  saana tu,hata ukifuatilia kipindi cha kusoma habari za magazeti asubuhi ,mtangazaji utakuta akiona habari inayotoa changamoto kwa upande wa viongozi wa Serikali zaidi awe wa ccm utakuta anairuka haisomi ila kama uko karibu na tv na unatizama ile picha ya kwenye gazeti UTAONA ANAILUKA LIVE, . Upande wangu toka niliposhitukia hilo kuwa WANAVIPAUMBELI FULANI, Credibility yao kwangu binafsi Siikubali, KWASABABU YA UBAGUZI HUO.
   
 16. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Kwani TiBiSii ipo?? Mi siku hizi nikitaka naona bora kuangalia chanel zinazoonyesha wanyama kuliko hicho kituko
   
 17. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  wao wenyewe watangazaji wa tibisi wanajishuku wakianza kutangaza uwongo jumatatu hadi jumapili
   
 18. M

  Mundu JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Tv Bora Chaneli (TBC). Hana kitu hapo...
   
 19. S

  SARAMBA Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBC ilikuwa ya Lowassa kwa kumbukumbu zangu, sasa baada ya Magamba kuondoka walitegemea nini kama si jua kali???? Angalia shule zao za sekondari zina hali gani wakati Rostam na Lowassa hawapo????? TBC-UKWELI NA UHAKIKA!!!
   
 20. e

  environmental JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Muda umefika wa chama cha wananchi kuwa na redio yake na tv yake na irushwe kuvuka mipaka ya nchi tanzania.ndio hapo tutaiangamiza tbc.
   
Loading...