Seriously....NEC/NBS na Msajili, watanzania we want it

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Judge mzee Lubuva
hongera kwa kyanza vema na kupasi mtihani wako wa kwanza japo kulikuwa na dosari ndogondogo kama kuzuia matumizi ya vyombo vya usafiri(chopper) na matumizi ya matusi ingawa hili tunahitaji kauli ya mlezi wao TENDWA
Tunatambua pia NBS na Central Census watafanya sensa mwaka huu
Kwa hilo basi tunaomba uanze sasa kutuboreshea daftari la wapiga kura kwa kushirikiana na NBS
watz wengi wamekufa,wamepoteza shahada, wameziuza na nyingi zimeshikiliwa polisi, benki na Saccos kama dhamana
kikubwa pia watz wengi wamwtimiza 18+ wanaqualify haki yao ya msingi
Daftari liwe online na watu waweze kuaccess usajili wao kwa kutumia simu(shirikisheni makampuni ya simu katika teknolojia hii ili mtu kupitia simu yake aliyojisajili taarifa zake zimatch na NBS na nyinyi
kuna kazi tunataka kufanya 2015
 
Huu uzi unatakiwa uwe maalumu Mod plsss uweke hapo juu pls pls sir! muhimu sana hii
 
Wakifanya hivyo CCM inazikwa na kwa kuwa wako kulinda maslahi ya magamba kamwe hawatathubutu kuweka daftari online...
 
Aliyekamatwa na kura feki afungiwe kushiriki siasa za arumeru kwa miaka 10
 
CDM iajiri kitengo cha ICT na takwimu..wacompare data za sensa na idadi ya wanachama wao pia wacollect data za uchaguzi wa 2010 itawasaidia kupata dira where they stand
 
Aliyekamatwa na kura feki afungiwe kushiriki siasa za arumeru kwa miaka 10
especially mchemba,chatanda,wassira na lusinde should be under surveillance.
ben kwisha habari yake kajimaliza mwenyewe
 
Mod plss ukorezee uzi huu ni muhimu sana hafu waungwane eeh kwenye huu uzi ebu twende deep tuache bla bla pls
 
kuna kazi tunataka kufanya 2015 da mmefurahi sana hapo......sasa hata ck ikipita bla kuingia JF ntakuwa sijakosa sanaaaaa...........wakuu jana nlikuwa JF mpaka sa kumi asbh, nkalala nastuka watu wanashangilia ..nkahc kna mwizi ametokea nkaulizia watu wananambia chadema tumechukua....wakuu nilitoa machozi ya furaha.............mungu isaidie chadema, mungu saidia tz. mi ntamshukuru zaidi Lwakatare kwa kuimarisha ulinzi na usalama.
 
Mod plss ukorezee uzi huu ni muhimu sana hafu waungwane eeh kwenye huu uzi ebu twende deep tuache bla bla pls
Mkuu si utani how comes at this world of technology mtu anasubiri aende kituoni na kukuta taarifa zake hazipo?
na je nikipoteza kadi au kuunguliwa siku moja kabla? maana kura yangu moja inaweza kuamua ushindi kama ule wa shinyanga
 
kuna kazi tunataka kufanya 2015 da mmefurahi sana hapo......sasa hata ck ikipita bla kuingia JF ntakuwa sijakosa sanaaaaa...........wakuu jana nlikuwa JF mpaka sa kumi asbh, nkalala nastuka watu wanashangilia ..nkahc kna mwizi ametokea nkaulizia watu wananambia chadema tumechukua....wakuu nilitoa machozi ya furaha.............mungu isaidie chadema, mungu saidia tz. mi ntamshukuru zaidi Lwakatare kwa k
uimarisha ulinzi na usalama.
maneno huumba!
hata mungu alisema na iwe mchana na uwe giza na vikawa
God bless
 
Mkuu si utani how comes at this world of technology mtu anasubiri aende kituoni na kukuta taarifa zake hazipo?
na je nikipoteza kadi au kuunguliwa siku moja kabla? maana kura yangu moja inaweza kuamua ushindi kama ule wa shinyanga

True dat!
 
Updates za daftari ziboreshwe kila baada ya miezi 6 kwa kuzingatia sheria za makazi.
 
Judge mzee Lubuva
hongera kwa kyanza vema na kupasi mtihani wako wa kwanza japo kulikuwa na dosari ndogondogo kama kuzuia matumizi ya vyombo vya usafiri(chopper) na matumizi ya matusi ingawa hili tunahitaji kauli ya mlezi wao TENDWA
Tunatambua pia NBS na Central Census watafanya sensa mwaka huu
Kwa hilo basi tunaomba uanze sasa kutuboreshea daftari la wapiga kura kwa kushirikiana na NBS
watz wengi wamekufa,wamepoteza shahada, wameziuza na nyingi zimeshikiliwa polisi, benki na Saccos kama dhamana
kikubwa pia watz wengi wamwtimiza 18+ wanaqualify haki yao ya msingi
Daftari liwe online na watu waweze kuaccess usajili wao kwa kutumia simu(shirikisheni makampuni ya simu katika teknolojia hii ili mtu kupitia simu yake aliyojisajili taarifa zake zimatch na NBS na nyinyi
kuna kazi tunataka kufanya 2015

Vijijini ndo usiseme! Mimi nina dogo ananiuzia kwenye stationery, nilikuta ana shaada zaidi ya 50, nkamuuliza ni za nini, akanijibu kuwa wazazi waliopiga passport size za kupeleka watoto wao f1 waliziweka kama rehani!
 
Updates za daftari ziboreshwe kila baada ya miezi 6 kwa kuzingatia sheria za makazi.
ukizingatia kuwa kila siku kuna waru wanatimiza miaka 18
pia watu wanahama vituo walivyojiandikisha kwa sababu mbalimbali..jumaliza elimu,trnsfer za kazi,masuala ya kifamilia na kibiashara
 
Vijijini ndo usiseme! Mimi nina dogo ananiuzia kwenye stationery, nilikuta ana shaada zaidi ya 50, nkamuuliza ni za nini, akanijibu kuwa wazazi waliopiga passport size za kupeleka watoto wao f1 waliziweka kama rehani!
imagine dat
 
Mie nikiangalia umri wa Lubuva na haya mambo ya ICT sitegemei kitu pale....
 
Back
Top Bottom