Ndugu watanzania ushindi wa chadema Arumeru umetufundisha nini ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu watanzania ushindi wa chadema Arumeru umetufundisha nini ?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by HAFSA1984, Apr 2, 2012.

 1. H

  HAFSA1984 Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu watanzania ushindi wa chadema arumeru umetufundisha nini ?
   
 2. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Kweli sera ina nguvu kuliko pesa, Watu wamechoka.
   
 3. H

  HAFSA1984 Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haha hahaha hahaha hahaha
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  ccm inabidi watambue kwamba kwa sasa mtaji wao wa wazee na wanawake unalekea kufilisika, maana walidai kwamba waliopiga kura walikuwa wazee na akina mama na siyo vijana. Hivyo kushindwa kwao kunaashiria kwamba hata hao wazee na akina mama ambao wamekuwa wakiwategemea wameshaichoka tayari.
   
 5. k

  kindboy Senior Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 142
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  CCM wako katika nyakati za kuishi kwa matumaini katika siasa na hii ni dalili tosha ya kuwa wako I.C.U na hawajitambui.
   
 6. aabb

  aabb Senior Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Watanzania wanatumia nguvu ya hoja kwa sasa, na si kulazimishwa kukubali anayosema kiongozi, wanajua mahali wanapodanganywa na wanapoambiwa ukweli, ni wakati sasa wanataka kupata viongozi werevu, watakaowaambia ukweli wa mambo si kuficha ukweli kwa manufaa ya walioko madarakani.
   
 7. h

  hans79 JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Chema chajiuza kibaya chakitembeza
   
 8. Diplomatic Imunnity

  Diplomatic Imunnity JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,207
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,935
  Trophy Points: 280
  Nimejifunza kuwa, wao wana pesa na sisi tuna mungu.
   
 10. b

  bigi Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umakini wa sera za cdm na uwezo makini katka
  Kuziuza kwa wananchi.
   
 11. M

  MAJANI YA KUNDE JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  HUU SI WAKATI WA ALINACHA ,UGUMU WA MAISHA NI MATOKE YA UTAWALA MMBOVU WA CCM,MFUMUKO WA BEI NI FAIDA KWA CCM,KUWANYIMA UMEME WATANZANI NI MATUNDA YA BIASHARA ZA MAJENERETA YA WAFANYABIASHARA WACHANGIAJI WAKUBWA WA CCM,UKOSEFU WA AJIRA KWA VIJANA WALALAHOI MSINGI WA AJIRA KWA KUJUANA NA KURITHISHANA KWA wWATOTO WA VIONGOZI WA CCM,Nani atapenda kuichagua wakati ukweli upo wazi sasa nakubali maneno ya Babu yangu Malika kuwa Mgonjwa afaye hakubali mapaka anapokufa.CCM KWAHERI.
   
 12. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  mimi nimejifunza kulinda kura na kutokurubuniwa kirahisi.
   
 13. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,787
  Likes Received: 6,115
  Trophy Points: 280

  Kiukweli kama CCM ni sikivu, inabidi itafute mbinu mpya. Kutegemea wazee kama mtaji mkuu ni hatari. Kwa familia zetu na demographic status ya nchi, kila penye wazee wawili (baba na mama) pana wastani wa vijana watano au sita.

  Na mbaya zaidi ndio hivyo tena hata hao wazee wameanza kuichoka CCM pia life span yao ni ndogo. Nina uhakika idadi ya wazee watakaokuwa wameondoka "kwenye mzunguko" ifikapo 2015 ni kubwa mno lakini idadi ya vijana itakayoingia kwenye 18 katika kipindi hicho hicho ni kubwa zaidi. Pia vijana wa leo ambao wana mapenzi na upinzani na ambao wanaingia kwenye uzee mapenzi yao kwa upinzani yanatarajiwa kwa kiasi kikubwa kubaki vile vile katika uzee wao.

  Hivyo utaona wapiga kura watarajiwa wa CCM wanapungua ilhali wale wa upinzani wanaongezeka. Hizo ni takwimu rahisi sana lakini muhimu mno kwa taifa letu.

  Kama CCM ina akili, watafute "njia bora" za kuwashawishi wananchi/wapiga kura vinginevyo wawaandae watu wao kisaikolojia kwani lolote laweza kutokea katika siasa za nchi yetu. Kinyume chake, ile dhana yao ya "CCM itatawala milele" inaweza kutufikisha siko.
   
 14. K

  Kuchayaa Senior Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  CCM is in polical hospital they should try harder to recover!
   
 15. Gedeli

  Gedeli JF Gold Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 452
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  mimi umenifundisha kuwa kazi bado ni ngumu tumeshinda lakini kazi imefanyika. hivyo basi tusilale tuendele kuelimisha umma wa watanzania wote kuhusu katiba na umuhimu wa kujiandiksha kupiga kura na kwa wanafunzi wajiandikishe sehemu ambayo wataweza kupiga kura 2015 tukumbuke mchezo uliochezwa 2010

  2015 tunahitaji ushindi wa kishindo !!!.
   
 16. S

  Shembago JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimejifunza na kuelewa kwamba kuishinda CCM ni lazima kuwe na mikakati ya kudhibiti wizi wa Kura na kulinda mianya yote ya Rushwa,lakini pia kufanya hivi inabidi kuwe na timu ambayo ni commited na haiwezi kurubuniwa na pia mtandao wa kichama uwe makini na wanachama wakutosha katika kila eneo!
   
 17. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,906
  Likes Received: 5,367
  Trophy Points: 280
  rejao na mzee wanachungulia jamvi bila kucomment.
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Umetufundisha waTZ Tumeamka na hatudanganywi tena na siasa uchwara
   
 19. MZALENDOWAKWELIKWELI

  MZALENDOWAKWELIKWELI JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 293
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 60
  Unatufundisha tunataka mabadiliko hasa ya mifumo.....tunataka serikali iwe na share kwenye migodi na seriously ikusanye kodi, tunataka serikali itakayokuwa tayari kumaliza tatizo la nishati kwa kuwekeza kwenye miradi kama bonde la mto Rufiji (Stiglas Gorge), tunataka serikali itayowekeza sehemu kubwa ya pato la taifa kwenye ELIMU, tunataka serikali itakayofufua VIWANDA badala ya kuvifisha mfano GENERAL TYRE n.k, tunataka kodi ifutwe kwenye vifaa vya ujenzi na CEMENT ili kila mtanzania amudu kujenga binafsi au kupitia morgage finance, tunataka serikali itayotuambia tusindike mazao badala ya kuuza ghafi, tunataka RAIS atayetuambia anaenda nje kututengenezea mazingira mazuri ya masoko badala ya kwenda kukinga kopo la MISAADA......IN SHORT TUNATAKA MABADILIKO.....TUMECHOKA........
   
 20. M

  MandawaNaManenge Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Umenifundisha kuwa:
  1.Sera ni bora kuliko Talalila

  2. Matusi na kubomoana ni nyufa mbaya si kwa uchaguzi peke yake lakini kwa jamii na vizazi vilivyopo na vijavyo

  3. Aliyechoka habembelezeki.. na mwenye kiu ya maji hadanganywi kwa kulambishwa pipi.

  4. Humility a.k.a Unyenyekevu ni amana.

  Asanteni.. PP
   
Loading...