Mchawi anatafutwa arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mchawi anatafutwa arumeru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kongomboli, Apr 3, 2012.

 1. kongomboli

  kongomboli Senior Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kama ilivyo ada kwamba ccm inapopoteza jimbo sehemu hukaa chini na kujitathimini kuona walijikwaa wapi. Tatizo la msingi ambalo magamba hawatakaa walitatue ni kutokuwa wakweli, hawatoi sababu za kweli kuhusu ni kwanini hasa wamepoteza jimbo na badala yake wanatafuta 'kafara'.Hiyo mara nyingi hutumiwa kwa ustadi na watu fulani fulani wenye bifu zao kusingizia wengine.Uchaguzi wa wabunge na raisi uliofanyika 2010, TIDO MHANDO alitolewa kafara kwa madai kuwa alisababisha 'kupungua' kwa kura za rais jky.The same thing is about to happen after the ARUMERU INCIDENCE,can you guess as to WHO WILL BE THE NEXT TIDO???? its crazy guys!!!!
   
 2. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hapo kati chembe chini ya kidevu lazima ukae!!hapo vp?hapo sawaaa!hapo vp?hapo sawaaa!hapo vp?NIKO FITI KWA MAPAMBANO!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  Wanamjua mchawi wao....Lowassa....lakini
  hawana ubavu wa kumgusa .....lol
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  yule mnyama mpenda ndizi mbivu wa kule gombe,niko fiti kwa mapambano na mbeba tunguli za chama prof.maji machafu na lusi
   
 5. kongomboli

  kongomboli Senior Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  yule mnyama mpenda ndizi mbivu wa kule gombe........................ tehe tehe tehe tehe,dah hapo kwenye red umemaliza mkuu
   
 6. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Tatizo ni wao na mchama wao wakipuuzi! Mfumo wao unawaweka mbali na wapiga kura wao!
   
Loading...