CCM: The end! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM: The end!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjenda Chilo, Apr 2, 2012.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Yafuatayo ndiyo yatakayoifanya Ccm ipotee kwenye ramani ya siasa za Tz kama matokeo ya jana yalivyoashiria.
  1. umimi, mnafanya chama na serikali ni zenu na familia zenu. mnapeana vyeo tuu,
  2. ufisadi uliokubuhu, bila hatua.
  3. hakuna uendelevu. mnakumbatia wazee mnafikiri vijana wataongoza lini? Makinda ni mbunge toka 1978 leo 2012 bado ni mbunge na spika. hakuna wengine?
  4. Makundi. kuna haja gani ya kuwa na Nape kwenye secretarieti? Piga chini.
  5. Uongozi dhaifu.
  6. Kuwa na wanachama ambao chama ndo dili. Watu wanataka pesa au faida binafsi. kama hakuna mwanaCCM anapenda chama kama chama. matajiri wanataka chama kiwe ladder. masikini anataka hela.
  7.endelea....
  Ccm ina wazee ambao wanakaribia kufa kutokana umri. vijana wachache waliopo ni kwasbb labda baba au yeye mwenyewe anafaidika. mpaka watoto wadogo wanasema pple's powerrr. Ukweli kwamba ccm sasa inang'oka. kama hamtaki ukweli ndo huo.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 160
  CCM kufa kabisa bado, labda kupoteza uongozi.
   
 3. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Kifo chao uhai wetu
   
 4. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Ndo kifo chenyewe ninachokiongelea coz hata kadi za viwan
   
 5. v

  vngenge JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Wa2mie katiba ya T.A.N.U pia warejee muongozo wa taifa na malengo ya Uhuru itawasaidi
   
 6. v

  vngenge JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kuna mwanafalsafa mmoja i think Socrate aliwahi kusema NO conflict NO development
   
 7. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  i meant kodi za viwanja wanazopata hazitakuwepo coz nahisi hivyo viwanja vitarudishwa serikalini. Huongozi dola, huna viongozi, huna hela bado utajiita ni chama?
   
 8. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  i meant kodi za viwanja wanazopata hazitakuwepo coz nahisi hivyo viwanja vitarudishwa serikalini. Huongozi dola, huna viongozi, huna hela bado utajiita ni chama?
   
 9. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  CCM ilishakufa kwa uhalisia ila hapa zile mali za wananchi walizojimilikisha (viwanja, majengo, mashamba nk) ambazo Jaji alisema zirudishwe serikalini ili kuweka uwanja sawa wa siasa ndizo zinafanya kuonekane kuna chama.

  Kama tunavyopigia upatu nyumba za serikali zilizouzwa kurudishwa serikarini, ninatabiri miaka isiyozidi mitano hizi mali zetu wanazoshikiria ccm kurudi kwa Watanzania wote waliozitafuta. Priority zitakuwa kwenye Uwanja wa Kirumba na Jengo la Umoja wa Vijana huko Dar es Salaam alafu nyingine zifuate
   
 10. n

  nyangwe Senior Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2010
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Karl Marx in his conflict theory
   
 11. Petiro

  Petiro JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Safi sana ni kifo cha kujitakia "Rest SISIMU in everlasting fire. Amen".

  Pia hawa NEC waupdate daftari la wapiga kura maana kuna vijana wengi wametimiza miaka 18+ wameshindwa kupiga kura na huu ndio mataji wa mabadiliko ya kweli
   
 12. M

  MADABADA Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acha ipotee tena ipotee kabisa:-*
   
 13. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunashuhudia kuizika ccm!
   
 14. p

  petrol JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Hizo ni hadithi za Alinacha. CCM haitakufa kirahisi namna hiyo. Bado tunaihitaji kwa sababu bila CCM hata Chadema itashindwa kuonyesha uwezo wake kisiasa. demokrasia yetu ingali changa na watakaoikomaza kwa ushahidi uliopo ni ccm na chadema maana CUF inaelekea kubaya na hatima yake ni tafsiri ya kila mtu. period
   
Loading...