William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
"Sumari hakuwa chaguo la wana Arumeru" ni kauli ya(SITTA) mwanamagamba mkongwe mwenye njaa kali ya Uraisi.
USHINDI WA CHADEMA ARUMERU ANGUKO KUU LA CCM TANZANIA.
Kwa sitta ushindi wa CHADEMA kwake anaona kama ushindi kwake dhidi ya EL. Kwenye kura za maoni za uraisi za CCM. Ingawa alikuwa amekaa kitako kimiya wakati wanaharakati wako vitani wanatoa habari njema za wokovu.
Hajui!
CCM INAKUFA lakini anawaza kugombea urais kupitia magamba.
Hatua zote zinazotumiwa na wanaCCM kupata mgombea zilipitiwa hatua hizo ni kama, Kuhonga wajumbe, kuangalia mwenye kipato kikubwa. Kuvunja makundi na kujaza maaskari. Je Sitta hajui haya? Si kweli sababu
Hata mkewe (Magreth Sitta) alikamatwa na bahasha zenye Rushwa wakati akiwania kuteuliwa ubunge viti maalumu.
Ugonjwa anaoumwa Sitta ni mkubwa kuliko hata wa Mwakyembe kwani umemwathiri ubongo na Akiri zake Zinawaza uraisi tu. AKIONGEA ANAOTA URAISI. Akilala anaota urais sasa hata akili hazifanyi kabisa.
ALIANZA KUWASUMBUA CHADEMA BUNGENI NA Mara MUONGOZO, MARA TAARIFA OH MARA CDM WATOTO. ILA WALIMTIBU NA MAKOFI YA CCJ! CCJ.
Anajipendekeza kwa JK Zaidi ya mama Salma baada ya kuangalia muvi ya maigizo ya kutengana kwa JK na EL.
Anaiwaza sana hiyo nafasi. Hakuna rais kutoka CCM 2O15, Sitta nawa uso