Ccm hapa ndipo mlipokosea arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm hapa ndipo mlipokosea arumeru

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Maundumula, Apr 2, 2012.

 1. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Habari wana JF,

  Nimekuwa nikifuatilia kwa kiasi mambo ya arumeru na nimeona machache ambayo ningependa ku share nanyi. Kwanza sikuamini kabisa kama Nassari angeshinda na haikuwa pendeleo langu. Lakini wananchi wa Arumeru wameongea na wao ndio wanaojua nani anawafaa. Nawapongeza kwa kupata mbunge aliyeshinda kwa tofauti kubwa ya kura.

  Kwa CCM mlipokosea hapa

  1. Siku ya ufunguzi wa kampeni Arumeru, mwenyekiti wenu (rais) alikuwa anaongea na wazee wa Da'slam, he stole the show vyombo vyote masikio yakawa Diamond, bad bad timing . Mistake number 1

  2. Badala ya kupiga kampeni "the traditional way" kama mlivyozoea mkaamua muende "kichadema chadema", ni sawa na Barcelona anacheza na Man U halafu Barca wacheze pasi ndefu.

  3.Button zenu zilipoguswa mka respond, na nyie mkaingia kwenye kampeni za kurushiana maneno yasiyofaa (advantage kwa Chadema)

  4. Mmetumia muda mwingi kuongea "blah blah" badala ya kuzungumzia mafanikio ya chama chenu hapo Arumeru (Siwalaumu sana pengine mafanikio yenyewe hayapo)

  5. Mkampeleka mzee Mkapa masikini ya mungu kufungua na kufunga kampeni ,ambaye si mzuri majukwaani halafu ni easy target......Ingekuwa ni busara zaidi kama mwenyekiti wenu angeenda kufungua au kufunga pengine ingeleta tofauti.


  Kaeni mtafakari, mbinu zenu za mwaka 47 hazifanyi kazi leo.
   
 2. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  :nono: sema hapana kwa CCM.
  People's ........:high5: power.....
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Aheri wangempeleka Sumaye
   
 4. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Nashukuru kwa maoni. Nakubaliana nayo.

  Pengine niongeze na haya:
  Wameru wengi ni watu wa kawaida. Hata hivyo wale wa Akheri ambako Sioi ametoka, huwa na katabia ka kujivuna kuwa wamesoma au wameona mbele kuliko wengine wa kule juu milimani kama Ndoombo, Songoro, Kilinga nk nk.
  Mara nyingine ukifanya jambo la kipuuzi utasikia ukifananishwa na watu wa milimani (nturu).

  Nasari ametoka eneo ambalo ni la kawaida. Ni rahisi kukubalika kwa Wameru wengi, wanamwona kama mwenzao ikilinganishwa na Sioi ambaye anaonekana kama ametoka kwenye ukoo wa watawala, wenye nacho na wanaojiona bora kuliko wengine.

  Hali hii ikichangiwa na ukweli kwamba CDM wana wafuasi wengi vijana kwenye miji na vijiji vingi jirani na barabara ya Arusha-Moshi, Mbuguni, pamoja na uwepo wa wanafunzi wengi kwenye vyuo vilivyoko Arumeru Mashariki.....vilichangia kwa kiasi kikubwa ushindi huu.
   
 5. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sikio la kufa ......wakati mnapanga mliona mpo sawa kumbe mnajimaliza stair ya igunga mnaleta arumeru!fia mbali ccm sitaki hata mazishi yako lasivyo ntakuzika kama osama alivyozikwa
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hapo ndo napoipenda JF, sasa shauri yenu magamba mnaoleta propaganda eeti huu ni mtandao wa cdm, njoo woote mpate mambo mazuri!
   
 7. k

  kilomondi New Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm walijichimbia wenyewe kaburi arumeru
   
 8. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  naongezea kidogo,matusi(lusinde)kejeli,dharau(wasira) ukabila (ole sendeka)pia kukosa la kujivunia arumeru.
   
 9. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  teh teh teh! majizi ya kura jana tumeyanyuka ha! ha! ha! kila yalipojari kuingiza mikura yao yalichezea kichapo! isaaya mwingulu hatua za mwish anakuja na gari private kwenye kituo cha majumuisho badala ya kutumia ile PT tuliyozoea kumwona nayo naye akachezea kichapo cha stone kama kawa na tukahakisha hiyo VX haingia ndani.
   
 10. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Una maana gani hapa?
   
 11. Ishina

  Ishina Senior Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  CCM imeshachokwa na wananachi walio wengi kaka.
  Hata kama wangezingatia hayo yote uliyoyasema ilikuwa ni lazima washindwe tu. CCM wangeshinda kwa kufanya fitina, na wizi wa kura kama ilivyotokea katika majimbo mengi mwaka 2010. Chama Tawala hakina jipya wala mvuto kwa wananchi.

  R.I.P CCM
   
 12. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  mkuu huogopi kusema hivyoo? Msalimie mdogo wake na nape mwambie leo nakuja anieleze why wameshindwa.
   
 13. M

  Mtabuzi New Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana wakazi wa Arumeru Mashariki kwa kusema HAPANA! Kumbe inawezekana. 2012 kazi ipo, wenzio wakinyolewa zako tia maji. Jiangalieni, namtafakari kisha mchukue hatua! Kama hamuamini ndohivyo sasa, kila zama na kitabu chake!
   
 14. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ushindi gani huo wa tia maji tia maji!!
   
 15. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Haya maandishi yako mtu akiyasoma kwa haraka haraka anaweza akazani kuna point, lakini akiyasoma kwa kufikiria anakuta hakuna point kabisa, kwa nini?

  Kwanza, huu sio wakati mwafaka wa kufanya Tasmini, huu ni wakati wa kusheherekea ushindi, mimi siko Arumeru, na wala mimi sio mwana Arumeru, na wala sitegemei nasari kufanya jambo lolote lile litakaloweza kuinfuluence situations na kuniletea mimi, familia yangu na wanajamii wenzangu unafuu wa maisha, lakini natambua ujumbe mkubwa wa mabadiriko uliotumwa nchi nzima kwa Nasari pamoja na CHADEMA kushinda kiti kile, na kwa sababu ni mapenzi ya watanzania kuona CCM inagaragazwa nchi nzima ili tujiepusha na makucha yake, watanzania wooote tunafurahia Ushindi huu na hatuna kabisa huzuni kwa kushindwa kwa CCM.

  Tunafurahi sana kuiona CCM inalia, sio wajibu wetu kuishauri CCM ifanye nini wala ingefanya nini,

  2. Pili, hakuna Jambo ambalo CCM ililifanya kimkakati kwenye mchakato mzima wa Arumeru, yote yalikuwa yakushtukiza tu, walichokuwa wakitegemea ni kuiba kura basi. kwa hiyo ushauri wako ni irrelevant, hakuna kitu CCM imekosea.


  Jipe muda wa kufurahia ushindi tafadhali.
   
 16. babykailama

  babykailama JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 241
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Game changer ni:........ L U S I N D E!!!!!

  Imetia aibu sana kwa maneno live in video ya huyu mh. wetu!
   
 17. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  ccm IFE tena IFE Kaburi lake liwe 100ft hukooo chini ya wengine....Ndo mchawi wa maendeleo ya TANZANIA.
   
 18. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  penye watu wengi wenye elimu ya F IV, CCM haishindi. Penye watu wengi STD VII, CCM inashinda kirahisi, sasa wewe fanya mahesabu CCM mwaka 2015 itashinda wapi na kushindwa wapi? Lufiji, liwale na mbozi mashariki wameisha shinda!
   
 19. M

  Mwanyava JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo uchaguzi ujao vyuo vingi viwe vimefungwa ili ccm kiendelee kushinda? Ni mbinu inayotumika mara nyingi kuvifunga vyuo vikuu vya serikali ili wanafunzi wasishiriki ....Inajulikana hivyo na hiyo ni hila ya kunyang'anya uhuru wa wanavyuo kuchagua watu au chama wanachokitaka.
  Mbinu hiyo ikiendelea watu watawachoka na Mungu hapendi wanafiki na wafanya hila ...
   
 20. Ngoromiko

  Ngoromiko JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 559
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45

  Kwa kweli Lusinde ni janga ktk CCM.

  Alimsababisha hata Lowassa aanze kujitetea kuwa yeye hakuja na matusi alipohutubia pale Kikatiti.
   
Loading...