Wassira: Nasisitiza Vincent Nyerere sio Ukoo Wa Nyerere | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wassira: Nasisitiza Vincent Nyerere sio Ukoo Wa Nyerere

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgeni wenu, Mar 19, 2012.

 1. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wana JF nipo katika mkutano wa CCM katika kijiji cha Ngabobo Kata ya Ngarenanyuki jimbo la Arumeru na mhutubiaji mkuu ni Ole Sendeka mbunge wa Simanjiro na Stephen Wassira Mbunge wa Bunda.

  Wassira anasema akija hapa mtu akajitambulisha kwa jina la Nyerere mumfukuze maana anadanganya, Nyerere alishakufa na alikuwa CCM hakuna Nyerere CHADEMA na mtu wa huko Musoma alipozaliwa mwalimu Nyerere na anajiita tu hili jina.

  Ole sendeka anasema Wamasai msikubali kuamuliwa na watu wa Musoma, wa Musoma wakae hukohuko kwao huku watuachie wenyewe.

  Kibaj anasema mumchague Siyoi kwa kumsaidia ana mzigo mkubwa nyuma yake ana familia kubwa ahurumiwe ili asadie kulisha wanaomtegemea na Mungu atawabariki wote.

  Mkutano unafungwa ila kuna makundi makundi yanapinga kauli hizo na wapo wanaokubali.

  My Take: CCM hakuna hoja wala mtoa hoja ni vituko tupu

  Ni mimi Mgeni wenu wa Jamii Forum
   
 2. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  wasubirie april 1, kumbe wanagombea ubunge kwa maslahi binafsi na siyo kuwatumikia wananchi. CCM KWISHNEI
   
 3. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tyson itakuwa akili yake ililala baada tu ya siku ile Mkaa-hapa alipotoa mipasho kwa Vicent, sasa leo akili imezinduka na yeye kaongezea pointless akizani ni event ile ile na anakazia pa mzee ukapa bin sumo style!!
   
 4. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wassira... hivi ana elimu gani?
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Very dissapointing. Ole Sendeka ameishiwa kiasi cha kujibanza na kivuli cha ukabila?
   
 6. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kwa mtindo huu njia ni nyeupe kwa cdm 2015 kuelekea magogoni
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kamanda Vincent Nyerere unavyowachanganya hivi vikongwe vya CCM na siasa zao za miaka 47 sina hamu.

  Ila kwa safari hii nakuomba USIWAJIBU KITU maana tayari Watanzania tumeshaelewa kwamba kinachowatisha kufa hawa wana-CCM kwa jina hilo lenye ishara ya uadilifu mkubwa ni kutokana na yale aliyofanyiwa Baba wa Taifa na chama hiki.

  Wana-CHADEMA wote wanachama wa kawaida pamoja na viongozi wetu wa juu, tangu sasa ingizeni mashine kubwa ya siasa na kuendelea kunadi sera zetu huku mkiwaeleza wananchi jinsi gani sera za CCM zinavyochangia kuwaangamiza kimaendeleo na kwamba CHADEMA tunayo njia mbadala gani kwao.

  Huyo Wasira mpuuzeni anazeeka vibaya, usingizi kila mahali, ndio maana mahari yake ilikataliwa kwa misingi ya kupora mke wa Mzee Ndege.
   
 8. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,150
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Kama mleta mada hujadanganya, basi nadhani huyu KIBAJ ni wa kupimwa akili, si mzima. Hatuchagui mtu ili alishe famila yake, tunamchgua ili awe mwakilishi makini wa wananchi. Kwa hili CCM wameshindwa
   
 9. mwitaz

  mwitaz JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 314
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mh. Wassira ni mtu wa CCM na pia ni mbunge wa Bunda ambayo iko mkoa wa Mara ambayo makao makuu yake ni Musoma..
  Ole Sendeka akimpinga Mh. Nyerere pia anapaswa kumpinga Mh. Wassira kwa kuwa wote wanatoka Musoma.
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Lazima Vicent Nyerere ni tishio. kwa nini CCM wanapanick sana na uwepo wake huko Meru? Na huyu Wassira ataacha lini kusema uwongo? Baba yake Joshua, mchungaji Nassari kamuumbua jana, leo anaamkia uwongo mwingine! amedanganya mangapi huyo huko wizarani?
   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  na alivyokuwa mpu.mbavu aliyatamka hayo huku wassira ambaye ni mtu wa huko mara alikuwa pembeni yake shiiiit
   
 12. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Wassira ni fisi mzee tena kibogoyo lakini yeye anafikiri bado ana uwezo wa kung'ata! Ingekuwa China angeshanyongwa kwa ulafi na tamaa zake. Shame on him
   
 13. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu unajua kusoma siasa na alama za nyakati. CCM kimefikia siasa za kukimbizana na KIVULI CHA MWALIMU NYERERE hakika hili linawatesa ile mbaya!!!

  Dokta wa ukweli, tumefurahi sana jinsi gani ulivyotumia busara na kuamua kupuuzia mbali hizi siasa za majitaka za Mzee Mkapa na yule Tyson mkuu wa
  'Usingizi Popote' kote nchini.

  Hata haya anayoyazungumza hivi sasa huko jukwani yote ni mambo ya usingizi tu ukija kumuuliza hapo kesho atakapofanikiwa kuamka utasikia akiyakanusa yote na kudai kwamba kasingiziwa tu.

  Sera zote za CCMndio hizo za uzao wa ukoo wa Nyerere sasa sijui hayo yatawasaidia vipi Wameru!!!


   
 14. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kumbe wenzetu magamba wanataka sioyi awembunge iliasaidie familia yake na ukoo wa marehemu mzee sumari hivyo anaomba huruma ya wana ARUMERU ubunge kumbe sio kwa ajili ya kuwatumikia wananchi bora tumejua nia ya magamba nikwa ajili yao tena yamewatoka hadharani peupe pee makubwa Sokwe ameamua kubwatuka tu hajui anaongea na Watanzania wa zama gani ngoja tushuhudie maajabu safari hii.
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Tatizo la Wassira ni usingizi wa pono. Angekuwa macho angegundua kuwa Ole Sendeka anamfukuza Meru. Huku ni kujidhalilisha kabisa, jamani hakuna mtu wa kumuamsha huyo mzee Wassira na kumjulisha kuwa Ole Sendeka kasema anatakiwa arudi Musoma?
   
 16. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama hivyo ndivyo kweli CCM imeishiwa sera, Huyo Wasira yeye ndiyo mtoto wa Nyerere au hofu yao ni nini?? Ole sendeka anaposema watu wa Musoma wasiwaamulie watu wa Arumeru kwani Wasira anatoka wapi na anafanya nini Arumeru kama issue ni kubaguana? Kweli CCM huishi kwa propaganda za uongo! Mungu tuepushe na hili janga la CCM.
   
 17. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,500
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nani wa kuujua zaidi ukoo wa Nyerere, Madaraka au Wassira?
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kwani kuwa ukoo wa nyerere ni big deal? Mbona wanagombea huo ukoo? Au wanadhani wakisema ukoo wa nyerere watafanana na nyerere? La hasha kulikuwa na nyerere mmoja tu na hatokuwepo mwingine, na kuna vicent mmoja tu, wassira mmoja tu nk nk

  Ili kuhitimisha malumbano vicent sio mwanaukoo ila wassira.

  Na huo uchaguzi ufanyike haraka mie binafsi nishachoka kusikiliza pumba mchanganyiko.....
   
 19. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CCM hivi sasa mbona hadi huruma hivi!!!!!!!!!!!!!!!
   
 20. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CCM wanahisi kuwa wana wa Arumeru watachagua kwa influence ya jina la Nyerere ndo maana wanahangaika namna hiyo!! Mawazo mgando!, ndio maana nchi haindelei!! "backwards ever, forward never"!
   
Loading...