Matokeo ya kata hadi kata huko arumeru mashariki

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Please kama mtu anayo au anajua namna ya kuyapata matokeo ya kata hadi kata nayaomba please ?
 
Hii inaonesha wazi kuwa kama uchaguzi ungerudiwa wa udiwani sambamba na ubunge kwa jimbo husika basi uwezekano ni mkubwa wa kata zote kuhamia CDM? Keep it up people!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
CDM ni muda muafaka si mnaona chama kinavyokubalika? Hakuna kulala hakuna kuaribu 2015 tunaingia ikulu hapo! Peoplezzzzzzzzzzzz
 
Back
Top Bottom