Mujumba
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 853
- 306
kitendo cha Mimi Mwanakijiji kutangaza kuwa cdm imeshinda Arumeru kinaweza kikamghalimu kwani ametoa madai yake basing on few counted centres wakati vituo ambavyo mpaka sasa vimeshapokelewa matokeo yake havizidi hata MIA wakati jumla ya vituo vyote ni 327 na watu waliojiandikisha ni zaidi ya laki moja! kwahiyo kuitangaza cdm washindi kwa kura elfu 19 ambazo mpaka sasa imepata wakati bado kuna maelfu ya kura bado kujumlishwa kunaweza kumghalimu kwani huo ni uongo na kuingilia kazi ya tume ya uchaguzi