Lusinde akamatwa asubuhi hii USA akiwa na mabokisi yakura manne yakiwa na kura zilizopigwa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde akamatwa asubuhi hii USA akiwa na mabokisi yakura manne yakiwa na kura zilizopigwa!!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KakaKiiza, Apr 1, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,273
  Trophy Points: 280
  Akiwa anatokea kwenye hotel USA alikutanana na vijana CDM baada yakuweka vijana walinzi usuku kucha Lusinde ndo alitoka na mabokisi manne yenye picha za TV lakini ndani kulikuwa na mabox ya kupigia kura na yamejaa kura zilizopigwa tayari ndipo alipo ng'ang'aniwa na makamanda wa BAVICHA kwani issue waliishtukia jana usiku baada yakutonywa!!Valangati lilikuwa kali mpaka kaumizwa mkono umevunjika ila polisi wamefika katika tukio na kutawanya vijana waliotaka kumla Lusinde Mkuu wakituo alisema hawawezi kuvumilia upuuzi huu wakuiba kura hivyo Lusinde kapandishwa kwenye cruiser nakupelekwa central arusha!!yatakayojili nitawajulisha baadae nafatilia kwakaribu!!
   
 2. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Nataman ingekua kweli..fools day
   
 3. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,092
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 180
  Good news mkuu,endelea kutujuza
   
 4. unejoune

  unejoune Senior Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Habari ya asubuhi mkuu
   
 5. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,006
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Aise hebu fualilia.
   
 6. MADAXWEYNE

  MADAXWEYNE JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 718
  Likes Received: 1,826
  Trophy Points: 180
  Hizi habari za leo ni nzuri ila na hii tarehe (1/4)! Mh!
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Fools Day (honored)
   
 8. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ahssante mkuu kwa taarifa, kama ni kweli basi CCM wanayofanya ni mambo ya aibu. Harafu mtu anakuja hapa huku kabana pua, eti ushindi lazima!! Kama ushindi ni lazima, shame on them! We can not keep doing the same thing expecting different results! Watu na shule zao hawaoni watanzania wanavyotaka waongozwe? The country is not belongs to non of the political part, its belongs to wananchi. Sauti za wananchi ziheshimuni jamani.
   
 9. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ooooh shit, its a fool day, alright Kakakiiza?
   
 10. +255

  +255 JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Hivi siku ya wajinga ni dhumuni lake ni kudanganya!? Kuna issue nyingine ni sensitivy haifaia kuchanganya na upuuzi wenu...Mods angalieni hili
   
 11. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,868
  Trophy Points: 280
  PAMBAF...ZENYU, hizi sio issues za kufanyia utani wenu wa kitoto, Mnataka utani pelekeni huko.. Alaaaah
   
 12. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  siku ya wajinga inaisha saa ngapi?
   
 13. MADAXWEYNE

  MADAXWEYNE JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 718
  Likes Received: 1,826
  Trophy Points: 180
  Wajinga wapo kila siku
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Siyo manane ni 50 umesahau.
   
 15. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Siku ya wajinga na habari yako nayo umeiandika ki ujingaujinga. Mwanzo mwisho hakuna kituo wala koma.
   
 16. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  as long as muda wa kudanganyana umepta...plz mods naomba busara zenu. Zle habar za kzush ztolewe then 2rud kwenye real and founded issues plz
   
 17. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,711
  Likes Received: 817
  Trophy Points: 280
  mkuu naunga mkono hoja!nimetoka church ndio nasoma habari za arumeru nakutana na madudu kama haya mpaka nimechoka!MODS tafadhali move threads zote za fools day to the Dustbin!hazistahili hata kukaa jukwaa la jokes
   
 18. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Foolish day iwe nawe daima.
   
 19. U

  Uswe JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  fools day hata JF, msifanye hivo bwana, hii sijaipenda
   
 20. U

  Uswe JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  naunga mkono, mods tuondoleeni hizi kitu za utaniutani
   
Loading...