Tume ya maadili ya viongozi nataka kufaili complain dhidi ya l.lusinde(mb) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya maadili ya viongozi nataka kufaili complain dhidi ya l.lusinde(mb)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Apr 3, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  naomba kujua utaratibu wa kufaili complain dhidi ya Livingstone Lusinde kwenye tume ya maadili ya viongozi please
  naomba website au kama unafahamu taratibu please naomba msaada wako ili tutoe mfano kwa viongozi wengine wenye
  tabia chafu kama ya Lusinde ili wajifunze kutoka kwake. tuna ushahidi wa wazi wa video kwahiyo issue yetu ni slam dunk.
   
 2. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ndo siasa uchwara alizozisema rostam hizo ktk ccm, kama utafanya hivyo utatusaidia watanzania kuwafundisha hawa magamba siasa za kistaarabu.
   
Loading...